Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Wind itakuja na speed ya 120 km kwa saa mpk pwani Kisha itabadilika speed itakuwa 60 km kwa saa..madhara yake yapo you can imagine speed ya gari ikiwa 60 Sasa ndo upepo mzee
Kuweni na Amani....mtuliza bahari YESU KRISTO yupo kazini,aliutuliza upepo mkali na kumfanya petro atembee Baharini na sisi ataiponya nchi yetu kwenye tarehe tajwa.

Kwa nini tunataja CNN,TMA,sijui kijazi...tunaacha kutaja mtengeneza dunia hii ,aliyeumba bahari hii ,aliyeutengeneza hata upepo mnaougopa ,yupo HAI......

Na anajua na ku monitor trend ya upepo na mvua ,hebu kuweni na imani kwake ....na jumapili hii ni siku ya sabato kwake .....hebu muaminini YESU KRISTO na mumuombe kila mtu kwa imani yake....

He's the master of all intelligence na creator of all things.

Alishasema "Peace be unto you ".
 
Matangazo ya jana kuhusu hicho kimbunga na leo Jua kali lilivyowahi dsm,daah kweli huu ni utabiri kama betting ya mpira tu.....labda huko Lindi na Mtwara na kwa wachawi Mafia huko
 
Kingetegea siku ya Bunge kikapita ile mitaa ya Dodoma sijui ingekuaje, nchi ingepata hasara, mara kingezoa supika wetu kwakweli Mungu atuepushe wabunge wetu tunawapenda kimbunga jobo kisiwazoe maana wanatutetea siku mojamoja wakiamka vizuri
HahahahahahahHah Nimecheka ghafla..mwendzake angesindikizwa na wengi
 
We unaambiwa upepo mkali unakuja na huku unaendelea kukaa mjini kwanini usiondoke na familia yako kwa muda mkaenda hata kibaha huko kusikilizia
Kwa mtu mzima mwenye utashi amegundua Jambo jinsi kijazi boss wangu alivyokuwa akiongea.something terrible will happen hivyo kaeni kikamanda funga nyumba Chukua family yako washa gari toka speed njoo hata dodoma kabisa Kama pesa ipo.
 
Ujinga mtupu, hicho wanasema kitapungua sana nguvu kabla hakijafika huku, tusitishane

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…