moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Kuweni na Amani....mtuliza bahari YESU KRISTO yupo kazini,aliutuliza upepo mkali na kumfanya petro atembee Baharini na sisi ataiponya nchi yetu kwenye tarehe tajwa.Wind itakuja na speed ya 120 km kwa saa mpk pwani Kisha itabadilika speed itakuwa 60 km kwa saa..madhara yake yapo you can imagine speed ya gari ikiwa 60 Sasa ndo upepo mzee
Kwa nini tunataja CNN,TMA,sijui kijazi...tunaacha kutaja mtengeneza dunia hii ,aliyeumba bahari hii ,aliyeutengeneza hata upepo mnaougopa ,yupo HAI......
Na anajua na ku monitor trend ya upepo na mvua ,hebu kuweni na imani kwake ....na jumapili hii ni siku ya sabato kwake .....hebu muaminini YESU KRISTO na mumuombe kila mtu kwa imani yake....
He's the master of all intelligence na creator of all things.
Alishasema "Peace be unto you ".