Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

hivyo ni wazi kuwa binadam wote tulikuwa ni binadam wa kawaida kutoka kwa baba yetu Adam, hao nyani tulioambiwa ilikuwa ni uongo mahususi uliotengenezwa kwa malengo yao watawala (wazungu)
Wewe ni chichidodo,tafuta maana ya hilo neno,unawapinga wazungu kuwa ni waongo hapo hapo ukikubaliana na uongo wao kuwa binadamu wote uzao wetu ni Adam na Hawa wale waliotuaminisha hao hao wazungu.

Ukweli ni kwamba ,huyo Adam na Hawa unayemsoma katika biblia sio uzao wa watu wote duniani,haiwezekani wewe msukuma wa Ikungu lya mbeshi uwe uzao mmoja na mchina, mwarabu,mzungu, nk. Kama ndivyo hujiulizi ni kipi kilijili ikiwa adamu ndo uzao wetu,kwanini matabaka ya jamii tofauti tofauti!? Kama nilizozitaja !?

Kila tabaka la binadamu lina adamu na Hawa wake,sio huyo mmoja ukiyekaririshwa kwa misahafu
 
Graduate wa madrasa ndo hao vijana wasiozidi elfu 20, wamesababisha nchi nzima iingie vitani kwa ajili yao. Na kama hiyo haitoshi bado nchi hiyo bila aibu wala fedheha imeomba msaada wa fedha na kijeshi pamoja na kuita askari wake wa akiba ili kupambana na vijana tu wasiomiliki hata ndege moja ya kijeshi 😄😄😄
Vita inapiganiwa nchi gani? Maelfu wanauawa nyie huku mabaki katika ushabiki maandazi
 

Attachments

  • Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    57.3 KB · Views: 7
Thread za kujifariji tu hizi ila mzigo wanaopiga IDF pale GAZA hakika jamaa ni watabe mno, IDF ni mojawapo ya jeshi Bora kabisa duniani.

Mbugi Inapigwa GAZA, inapigwa LEBANON inapigwa SYRIA tena kwa wakat mmoja na kwa ufanisi mkubwa sio jambo dogo.
 
Ahmedinejad aliposema ataifuta Israel kwenye uso wa Dunia alikuwa anajua anasema nini kwa sababu alikuwa amiri jeshi mkuu anaepata taarifa zote
Ila waisrael wetu wakapinga na kutukana sana
Ona sasa leo hata mateka wanawauwa wao
 
Vita inapiganiwa nchi gani? Maelfu wanauawa nyie huku mabaki katika ushabiki maandazi
Yaa ni kweli maelfu wanauwawa wakiwemo watoto wadogo ambao hawajui hata kuongea wala kutembea.

Fikiria nchi ambayo umedanganywa kuwa ina intelejensia kubwa, weledi na uwezo mkubwa wa kijeshi inaweza kutumia ndege zisizokuwa na rubani, vifaru na silaha zake nzito kuuwa watoto wachanga wasiojua hata kurusha jiwe?

Hii ni sawa na wewe uingie ulingoni kupigana na katoto ka miaka miwili, ukarushie ngumi, mateke na nguvu zako zote alafu uje ujitape kuwa wewe ni bingwa kwa kukapiga katoto hako. Wenye akili na nguvu za kweli nafikiri watakucheka sana.
 
Thread za kujifariji tu hizi ila mzigo wanaopiga IDF pale GAZA hakika jamaa ni watabe mno, IDF ni mojawapo ya jeshi Bora kabisa duniani.

Mbugi Inapigwa GAZA, inapigwa LEBANON inapigwa SYRIA tena kwa wakat mmoja na kwa ufanisi mkubwa sio jambo dogo.
Wababe na wakati kikundi cha vijana wasiovuka elfu 20 wamesababisha nchi nzima hadi askari wa akiba waingie vitani. Tena nchi yote imeingia vitani kupambana na vijana wasiokuwa na uwezo wa kumiliki ndege hata moja ya jeshi?

Je kama wangekuwa wanamiliki ndege za kijeshi, vifaru na silaha kidogo nzito nzito si ndo Israel ingeomba hadi askari na polisi kutoka Marekani na UK waje kuwasaidia?

Ni aibu kubwa kwa nchi nzima kuingia vitani kupambana na vijana wanaotumia visilaha vya kuunga unga. Huu ni uthibitisho kuwa Israel haiwezi kuingia vitani na nchi ambayo ina silaha kubwa za maangamizi na ikafanikiwa kushinda vita.
 
Back
Top Bottom