Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Ni aje waungwana?

Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika.

1. Kwanza wazungu walitudanganya kuwa wanakuja kutukomboa kiuchumi na kiroho, kumbe nyuma ya pazia lengo lilikuwa ni kututawala, kumiliki ardhi yetu na kila kilichopo katika nchi zetu.

2. Pili walitudanganya kuwa binadamu wa kwanza au wa kale walikuwa ni manyani, lakini hapo hapo kupitia vitabu vitakatifu vya dini wakatuambia kuwa binadamu wa kwanza alikuwa ni binadam wa kawaida ambae jina lake ni Adam.

cha kushangaza katika vitabu vinavyoonesha kuwa binadamu wa kwanza walikuwa nyani, utakuta waliochorwa ni watu weusi, na vile vinavyoonesha kuwa binadam wa kwanza alikuwa Adam utakuta amechorwa mzungu, hivyo ni wazi kuwa binadam wote tulikuwa ni binadam wa kawaida kutoka kwa baba yetu Adam, hao nyani tulioambiwa ilikuwa ni uongo mahususi uliotengenezwa kwa malengo yao watawala (wazungu)

3. Tatu wanadanganya kuwa pale Mashariki ya kati nchi yenye nguvu zaidi za kijeshi ni Israel, lakini wengi tumeshuhudia kwamba Israel haina tofauti na Ukraine, kwamba kila inapotaka kupigana na adui yake, au hata kikundi cha vijana wasiozidi hata 20,000 kama vile Hamas lazima waombe msaada wa silaha kutoka Marekani, huku UK na EU nao wakiipa kwa njia ya kimya kimya ili kupambana na kakundi hako.

Bora hata Ukraine inapambana na taifa ambali ni la kwanza kwa ukubwa duniani, taifa ambalo Ukraine inaingia zaidi ya mara 10, lakini pia ni la pili kwa nguvu za kijeshi duniani, hivyo kutokana na udogo wake na pia utoauti wa nguvu za kijeshi, ina haki ya kuomba msaada kutoka katika nchi nyingine. Lakini Israel inaomba msaada wa kifedha na silaha hata pale inapopambana na kikundi cha watu wachache wasiofika hata elfu 50 ambacho sio nchi, sasa inawezaje kuwa taifa lenye nguvu kuliko nchi zote za eneo hilo?

Mbona tukifuata uhalisia wa kweli bila kutanguliza mihemko ya kipropaganda za magharibi ni kama vile Israel haiwezi kufua dafu hata mbele ya mziki wa Iran kijeshi, japo nchi hiyo ina vikwazo lukuki vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 70. Kama vikundi vidogo vidogo vinavyodhaminiwa na Iran iliyowekewa vikwazo kwa takribani miaka 70 Hezbollah, Hamas na vinaitoa kamasi Israel inayodhaminiwa kijeshi na kifedha na Marekani kwa zaidi ya miaka 80 tena bila kikwazo hata kimoja, je hiyo ndio ya kuuita yenye nguvu hapo Mashariki ya kati zaidi ya nchi zingine? Kuna kikundi kidogo tu cha vijana kadhaa kilichopewa silaha mbili tatu na Iran hapo Yemen, kimesababisha nchi kubwa duniani zaidi ya 10 kuingia baharini kwenda kupambana nacho. Hivyo kudai kuwa Israeli ni taifa lenye nguvu kwa sasa, kwakweli ni uongo wa dhahiri ambao kwa dunia ya leo watu wanaanza kuushtukia kutokana na kile kinachoendelea katika eneo hilo.

Fikiria hiyo miaka zaidi ya 70 ambayo muisrael anapewa misaada ya kijeshi na kifedha na Marekani pamoja na vibaraka wa magharibi, kama pia ingetumika kutoiwekea vikwazo Iran hali ingekuaje, bado wangeendelea kudanganya hivi hivi au wangeongea ukweli kwa sababu ingekuwa ngumu kuuficha ukweli huo?

4. Walidanganya kuwa Russia ni nchi hatari kwa usalama na amani ya dunia, japo Russia ni wazungu wenzao, lakini ukweli ni kwamba wazungu wa nchi za West ndio wanaoongoza kwa kuhatarisha usalama na amani katika nchi za wenzao. Wengi tuliona jinsi wafaransa walivyopachika wavaa kobaz huko Mali, Niger, na kwengineko ili aweze kutumia mwanya huo kuiba rasilimali za nchi hizo kupitia maeneo yale ambayo serikali haiwezi kuyadhibiti tena. Hata miaka kadhaa iliyopita Msumbiji iligundua kuwa katika eneo la kusini mwa nchi yake kuna utajiri mkubwa wa gesi, hivyo waliingia mkataba na kampuni fulan ya kifaransa kwa lengo la kuja kuchimba gesi hiyo kwa makubaliano maalum, bila kujua kwamba nchi hiyo ya kusini mwa Afrika inakaribisha nyoka katika ardhi yake.

Miezi michache tu baada ya wafaransa kuingia eneo la kazi na kuisoma vizuri ramani, wakaunda kikundi cha wavaa kobaz kama ilivyozoea kufanya katika nchi Mali, Niger, Gabon nk. Lengo la kuunda kikundi kile ni kutaka lile eneo lisitawalike na kampuni yao ijifanye inakimbia kutokana na sababu za kiusalama, kumbe nyuma ya pazia wawe bado wapo wanachota gesi hiyo watakavyo huku wakiwapa silaha na hela ya kula viongozi wa wavaa kobazi ambao wanajua kile kinachoendelea katika eneo hilo. Hivyo kusema kuwa Russia ni nchi hatari kwa usalama na amani ya dunia ni uongo mtupu wanaojaribu kutudanganya sisi watawaliwa ambao wanahisi hatuwezi kujua lolote.

Uongo wao ni mwingi, siwezi kuuorodhesha wote, ila wajue kwamba watawaliwa tumeshaamka, sio kila tango pori watakaloturushia sisi tutalimeza bila kulimung'unya ili kujiridhisha kuwa ni lenyewe kweli au tango la mimba.
Wafia dini mnajifariji na uzi za kinafiki
 
Ahmedinejad aliposema ataifuta Israel kwenye uso wa Dunia alikuwa anajua anasema nini kwa sababu alikuwa amiri jeshi mkuu anaepata taarifa zote
Ila waisrael wetu wakapinga na kutukana sana
Ona sasa leo hata mateka wanawauwa wao
Hao jamaa wanaijua Israel nje ndani, Waisrael washukuru Mungu hawashirikiani mpaka na Iran. Bila hivyo leo hii tungekuwa hatujui au kukumbuka kama kuna nchi iliwahi kuitwa Israel duniani.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Marekani, ila kinachofanyika huko ulipoita mashariki ya kati ni aibu kwetu sisi wamarekani wa gongo la mboto, na ndugu zetu waisrael wa uliyankulu Tabora.
Kweli kabisa mkuu. Wayahudi wa gongo la mboto mbona wapo wapo hapa kuwatetea wayahudi wazungu ambao hawawafahamu.
 
Ni aje waungwana?

Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika.

1. Kwanza wazungu walitudanganya kuwa wanakuja kutukomboa kiuchumi na kiroho, kumbe nyuma ya pazia lengo lilikuwa ni kututawala, kumiliki ardhi yetu na kila kilichopo katika nchi zetu.

2. Pili walitudanganya kuwa binadamu wa kwanza au wa kale walikuwa ni manyani, lakini hapo hapo kupitia vitabu vitakatifu vya dini wakatuambia kuwa binadamu wa kwanza alikuwa ni binadam wa kawaida ambae jina lake ni Adam.

cha kushangaza katika vitabu vinavyoonesha kuwa binadamu wa kwanza walikuwa nyani, utakuta waliochorwa ni watu weusi, na vile vinavyoonesha kuwa binadam wa kwanza alikuwa Adam utakuta amechorwa mzungu, hivyo ni wazi kuwa binadam wote tulikuwa ni binadam wa kawaida kutoka kwa baba yetu Adam, hao nyani tulioambiwa ilikuwa ni uongo mahususi uliotengenezwa kwa malengo yao watawala (wazungu)

3. Tatu wanadanganya kuwa pale Mashariki ya kati nchi yenye nguvu zaidi za kijeshi ni Israel, lakini wengi tumeshuhudia kwamba Israel haina tofauti na Ukraine, kwamba kila inapotaka kupigana na adui yake, au hata kikundi cha vijana wasiozidi hata 20,000 kama vile Hamas lazima waombe msaada wa silaha kutoka Marekani, huku UK na EU nao wakiipa kwa njia ya kimya kimya ili kupambana na kakundi hako.

Bora hata Ukraine inapambana na taifa ambali ni la kwanza kwa ukubwa duniani, taifa ambalo Ukraine inaingia zaidi ya mara 10, lakini pia ni la pili kwa nguvu za kijeshi duniani, hivyo kutokana na udogo wake na pia utoauti wa nguvu za kijeshi, ina haki ya kuomba msaada kutoka katika nchi nyingine. Lakini Israel inaomba msaada wa kifedha na silaha hata pale inapopambana na kikundi cha watu wachache wasiofika hata elfu 50 ambacho sio nchi, sasa inawezaje kuwa taifa lenye nguvu kuliko nchi zote za eneo hilo?

Mbona tukifuata uhalisia wa kweli bila kutanguliza mihemko ya kipropaganda za magharibi ni kama vile Israel haiwezi kufua dafu hata mbele ya mziki wa Iran kijeshi, japo nchi hiyo ina vikwazo lukuki vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 70. Kama vikundi vidogo vidogo vinavyodhaminiwa na Iran iliyowekewa vikwazo kwa takribani miaka 70 Hezbollah, Hamas na vinaitoa kamasi Israel inayodhaminiwa kijeshi na kifedha na Marekani kwa zaidi ya miaka 80 tena bila kikwazo hata kimoja, je hiyo ndio ya kuuita yenye nguvu hapo Mashariki ya kati zaidi ya nchi zingine? Kuna kikundi kidogo tu cha vijana kadhaa kilichopewa silaha mbili tatu na Iran hapo Yemen, kimesababisha nchi kubwa duniani zaidi ya 10 kuingia baharini kwenda kupambana nacho. Hivyo kudai kuwa Israeli ni taifa lenye nguvu kwa sasa, kwakweli ni uongo wa dhahiri ambao kwa dunia ya leo watu wanaanza kuushtukia kutokana na kile kinachoendelea katika eneo hilo.

Fikiria hiyo miaka zaidi ya 70 ambayo muisrael anapewa misaada ya kijeshi na kifedha na Marekani pamoja na vibaraka wa magharibi, kama pia ingetumika kutoiwekea vikwazo Iran hali ingekuaje, bado wangeendelea kudanganya hivi hivi au wangeongea ukweli kwa sababu ingekuwa ngumu kuuficha ukweli huo?

4. Walidanganya kuwa Russia ni nchi hatari kwa usalama na amani ya dunia, japo Russia ni wazungu wenzao, lakini ukweli ni kwamba wazungu wa nchi za West ndio wanaoongoza kwa kuhatarisha usalama na amani katika nchi za wenzao. Wengi tuliona jinsi wafaransa walivyopachika wavaa kobaz huko Mali, Niger, na kwengineko ili aweze kutumia mwanya huo kuiba rasilimali za nchi hizo kupitia maeneo yale ambayo serikali haiwezi kuyadhibiti tena. Hata miaka kadhaa iliyopita Msumbiji iligundua kuwa katika eneo la kusini mwa nchi yake kuna utajiri mkubwa wa gesi, hivyo waliingia mkataba na kampuni fulan ya kifaransa kwa lengo la kuja kuchimba gesi hiyo kwa makubaliano maalum, bila kujua kwamba nchi hiyo ya kusini mwa Afrika inakaribisha nyoka katika ardhi yake.

Miezi michache tu baada ya wafaransa kuingia eneo la kazi na kuisoma vizuri ramani, wakaunda kikundi cha wavaa kobaz kama ilivyozoea kufanya katika nchi Mali, Niger, Gabon nk. Lengo la kuunda kikundi kile ni kutaka lile eneo lisitawalike na kampuni yao ijifanye inakimbia kutokana na sababu za kiusalama, kumbe nyuma ya pazia wawe bado wapo wanachota gesi hiyo watakavyo huku wakiwapa silaha na hela ya kula viongozi wa wavaa kobazi ambao wanajua kile kinachoendelea katika eneo hilo. Hivyo kusema kuwa Russia ni nchi hatari kwa usalama na amani ya dunia ni uongo mtupu wanaojaribu kutudanganya sisi watawaliwa ambao wanahisi hatuwezi kujua lolote.

Uongo wao ni mwingi, siwezi kuuorodhesha wote, ila wajue kwamba watawaliwa tumeshaamka, sio kila tango pori watakaloturushia sisi tutalimeza bila kulimung'unya ili kujiridhisha kuwa ni lenyewe kweli au tango la mimba.
Hoja yako ilikuwa inaenda vizuri ila imajaa uongo na stori za hisia
 
Mudi si alikuwa shoga, au umesahau
Ikiwa unamaanisha mtume Muhammad basi ukae ukijua ya kwamba,,,
Alikuwa na wake wanne,,
Watoto saba,,,
Kaongoza vita Zaidi ya moja,,
Alikuwa pia mfanyabiashara, yani kifupi alikuwa mwanaume wa shoka haswa tofauti na nyie Ambao kiongozi wenu kule Italy katoa dongo mgongwe pumbavu kabisa,,, sasa wewe sijui ushaenda kubariki kanisani ili ufilwhe vizuri,,
 
Hamas hiyo ni copy ya muiran,
Copy isiyokuwa na ndege za jeshi, vifaru, vifaa vya kuzuia makombora wala silaha za maana, inalitoa kamasi taifa teule ambalo mara kwa mara tunaambiwa lina jeshi bora, silaha za kisasa, intelejensia kali nk.

Unaambiwa hadi askari wa akiba na wale ambao tayari walishastaafu waliitwa kupambana na kikundi kinachomiliki mizinga tu ya kawaida na sio ndege zisizokuwa na rubani wala kifaru cha aina yoyote 😂😂😂
 
Unajua dunia ya sasa kila kitu ni movie kinaigizwa, unaweza ukafikiri kitu kidogo ulichoambiwaga ulipokuwa ufahamu wako mdogo na sasa ukashangaa mbona logically hii kitu ni uwongo mkubwa
 
Copy isiyokuwa na ndege za jeshi, vifaru, vifaa vya kuzuia makombora wala silaha za maana, inalitoa kamasi taifa teule ambalo mara kwa mara tunaambiwa lina jeshi bora, silaha za kisasa, intelejensia kali nk.

Unaambiwa hadi askari wa akiba na wale ambao tayari walishastaafu waliitwa kupambana na kikundi kinachomiliki mizinga tu ya kawaida na sio ndege zisizokuwa na rubani wala kifaru cha aina yoyote 😂😂😂
Na sasa wanachukua mpaka mamluki na kuidanganya Dunia eti wafanyakazi wa mashamba na wanafunzi
 
Wameitawala Dunia Kwa muda mrefu sana, hakuna marefu yasiyo na ncha..
Uongo wao unajifichua siku kabla ya siku, tutasikia na kuona mengi.
5. Walitudanganya eti Saddam Hussein ameficha siraha za nyuklia katika Jimbo la Al Mansoor huko Iraq, Baraza la usalama likiongozwa na police wa Dunia(America) wakachimbua Kila Kona na bila kukuta kitu. Wakabadiri GIA angani eti Saddam alikua mshirika wa Osama bin laden 🤣
 
Hamas wameivua Israel nguo. Mpaka sasa imeshafahamika kuwa Israel haina jeshi kubwa, lenye nguvu wala weledi wowote.

Ni taifa linaoishi kwa kutegemea propaganda na uongo wa nchi za magharibi.
Mitandao imesaidia sana watu wengi duniani
Leo kila kitu kiko wazi mambo ya kusubiri miaka 50 ndio watoe taarifa kwa umma hakuna tena
Yanaongelewa jikoni sisi tunayasikia
Myahudi anapiga hovyo na kuuwa watoto na raia na majumba
Halafu tatizo wengi wamekuwa mashoga na laana inachangia sana
 
Wameitawala Dunia Kwa muda mrefu sana, hakuna marefu yasiyo na ncha..
Uongo wao unajifichua siku kabla ya siku, tutasikia na kuona mengi.
5. Walitudanganya eti Saddam Hussein ameficha siraha za nyuklia na katika Jimbo la Al Mansoor huko Iraq, Baraza la usalama likiongozwa na police wa Dunia(America) wakachimbua Kila Kona na bila kukuta kitu. Wakabadiri GIA angani eti Saddam alikua mshirika wa Osama bin laden 🤣
Ni kweli kabisa. Pia walitudanganya kuwa Osama ni gaidi, kumbe ukweli wa mambo jamaa alikuwa ni ofisa wa CIA ambae walimtumia kwa lengo la kuvamia nchi za kiarabu kwa masilahi yao wenyewe. Osama alijifanya kukimbilia nchi za kiarabu na kujificha huko, Marekani nayo ikajifanya kuumfata kumbe ndo inakwenda kujichimbia ili ibaki huko kuiba mafuta nk.

Pia walitudanganya kuwa Osama huyo wamemuua lakini mpaka leo hakuna aliefanikiwa kuona mwili wake wala kaburi lake. Hii ni tofauti na maadui wa kweli wa Marekani kama vile Sadam Hussein na Ghadaf ambao wote tulioneshwa miili yao, maziko yao na makaburi yao yanafahamika yalipo.
 
Mitandao imesaidia sana watu wengi duniani
Leo kila kitu kiko wazi mambo ya kusubiri miaka 50 ndio watoe taarifa kwa umma hakuna tena
Yanaongelewa jikoni sisi tunayasikia
Myahudi anapiga hovyo na kuuwa watoto na raia na majumba
Halafu tatizo wengi wamekuwa mashoga na laana inachangia sana
Kwa sasa kwao kila kitu kipo wazi. Huku chini pako wazi na mipango yao yote pia iko wazi 😄😄😄
 
Wewe ni chichidodo,tafuta maana ya hilo neno,unawapinga wazungu kuwa ni waongo hapo hapo ukikubaliana na uongo wao kuwa binadamu wote uzao wetu ni Adam na Hawa wale waliotuaminisha hao hao wazungu.

Ukweli ni kwamba ,huyo Adam na Hawa unayemsoma katika biblia sio uzao wa watu wote duniani,haiwezekani wewe msukuma wa Ikungu lya mbeshi uwe uzao mmoja na mchina, mwarabu,mzungu, nk. Kama ndivyo hujiulizi ni kipi kilijili ikiwa adamu ndo uzao wetu,kwanini matabaka ya jamii tofauti tofauti!? Kama nilizozitaja !?

Kila tabaka la binadamu lina adamu na Hawa wake,sio huyo mmoja ukiyekaririshwa kwa misahafu
NAKAZIA.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Marekani, ila kinachofanyika huko ulipoita mashariki ya kati ni aibu kwetu sisi wamarekani wa gongo la mboto, na ndugu zetu waisrael wa uliyankulu Tabora.
Mjukuu wa Mudi kwenye moja na mbili.
 
Back
Top Bottom