Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

Nadhani unasema kitu ambacho unasimuliwa na haujui lolote kuhusu hiyo operation,nakuhakukishia Kwa mtu ambaye hana huo uchawi hana wasiwasi , maana nyumba nyingi zimepitiwa na ziko salama, Kwa hiyo usiseme ambacho haujui
 
Inaonekana unaongea kitu ambacho haujui sisi wenyeji wa hayo maeneo tunajua kiundani zaidi vifo vya kipuuzi sana vinavyotokea huko.
Maeneo yote yanayoendekeza imani za kishirikina, huwezi kukuta kuna huduma bora za kijamii! Mfano zahanati, vituo vya afya, hospitali, shule na vyuo vya kutosha, barabara za uhakika, nk.

Mtu anakufa kwa ugonjwa wa kuambukizwa/usio wa kuambukizwa! Lawama anabebeshwa ndugu/jirani/mwananchi mwenye maendeleo!!

Elimu
Elimu
Elimu. ✍️
 
Mkuu vip kama kaya moja mtu akaenda kuzika huo uchawi ili awafanye waonekane wachawi
 
Ni kweli uchawi upo,na hao wamekuja kuutoa
 
Wako vizuri tu, kuutoa uchawi, make wachawi wanakera sana kwenye jamii, kama wanajitolea kila kaya, 5,000 kwa hiari sawa tu, huwezi kulinganishwa na utapeli unaofanyika makanisani, wachugaji wanawatapeli sana, wananchi maskini, lakini hamsemi, kisa kimeazishwa na wazungu, mchugaji ananunua gari, la milioni 200. kwa sadaka za waumini wake alafu wao wanakosa hela ya chuvi tu hamuoni kama, huo nao ujinga,?
 
Attachments

  • Kigoma ushirikina.mp4
    49.3 MB
Jinga fulani wewe
 
Hao watu ni shida sana yaani walifika wilaya rungwe mbeya yaani wanakula kuku na mbuzi pamoja dada zetu .walikuwa wanalala.kambini wapingana miti ni shida
 
Kwa nini waandike mwanamke mchawi kuishi. Hawajaandika mwanaume mchawi ?

Biblia imeandikwa na watu kama mimi na wewe.
Mwanamke anazaa wewe Mwanaume tangu lini ukazaa? Mwanamke akitaka kuanzisha Jeshi la wachawi ni kugusa tu watoto wake wote anawaingiza
 
Lengo la hiyo operation ni kuondoa huo uchawi,amini nakwambia uchawi umetajwa hadi kwenye vitabu vitakatifu,kwa hiyo upo.Ambaye familia yake ni wachawi ndoo wanalalamika na hii operation.
Huwezi kuondoa uchawi kwa kutumia uchawi ndugu yangu, nenda Kigoma baada ya miezi sita kaulize kama Uchawi umeisha uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…