Watanzania tuna hila mkuu usijidai umekulia uingereza,Compassion ilikuwaje?Watu wenye kazi walijaza watoto wao na wanakazi,hata rafiki yangu Tom Baba Toby,boss wangu alikuwa mtoto wake analipiwa na compassion.Alikuwa na kazi na mkewe ana kazi.Wanaenda ghafla au wanawataarifu siku ya visitation?Lengo ni zuri sana lakini fuatilia sio wazazi wote ni masikini.Mkuu,Watanzania wengi ni maskini.Hawa mabwana wanafanya physical means testing,yani wanakuja nyumbani kuona mazingira ya mtoto ila awe na vigezo vya kuwa maskini.Wanawachukua toka shule za serikali on the second year.These people are doing a good job mkuu wakiondokoa.Tutakuwa wajinga sana kwa kiwango chao cha uwekezaji na huduma bora wanazowapa watoto ambao hawaweza kulipa ada za FEZA na IST
Nonsense commentElimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Nonsense commentElimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Jamaa akili zake mbona zimekaa SAWA....Wewe jamaa bado akili zako hazijakaa sawa.Cha kufanya ni kukwambia tu kwamba.Kama roho inakuuma wenzako kutendewa wema basi fanya tu kujitambua kwamba wewe ni binamu yake ni Ibilisi.Hayo mengine tuachie watu wa Arusha
Watadaiwaje kodi wakati hawafanyi biashara na wanafadhiliwa 100%! muwe mnasoma kabla ya kucomment!Maelezo mazuri lakini yana mapungufu. Kwa kuwa wameamua kutoa malalamiko yao kwa umma maana yake wameshindwana na serikali, sasa basi, ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.
Vinginevyo tukianza kuilaumu serikali bila kujua Hoja za pande zote mbili itakuwa tumekosa maarifa na busara
Acha vya bure nenda kalipe ada watoto wasome.Una post humu huo sio umasikini.Masikini wa Tanzania hata smart phone hana.Kalipe ada za watoto acha ujinga.Wewe jamaa bado akili zako hazijakaa sawa.Cha kufanya ni kukwambia tu kwamba.Kama roho inakuuma wenzako kutendewa wema basi fanya tu kujitambua kwamba wewe ni binamu yake ni Ibilisi.Hayo mengine tuachie watu wa Arusha
Usilete chuki kwa jamii dhidi ya serikali bila uthibitisho au ushahidi wowote! Acheni hizo tabiaHicho ndio kiini chenyewe.
Watu wengi Arusha wanajua kisa kilianzia siku Magufuli alipokuja Arusha kwenye kampeni na waendeshaji wa shule ya St. Jude wakagoma kuswaga wanafunzi wake kwenda Sheikh Amri Abeid kuongeza idadi ya wahudhuriaji kwenye mkutano wa CCM.
Wamiliki wa shule waliweka wazi kuwa, shule yao haina itikadi yoyote ya vyama vya siasa, uongozi wa shule haukuwa na mamlaka ya kuwahusisha kwa lazima wanafunzi wake kwenye itikadi za vyama na mwisho uongozi wa shule hauwezi kuhahakisha usalama wa wanafunzi wake kwenda uwanjani.
Yote kwa yote, chuki ya serikali ya Magu dhidi ya ukanda wa Kaskazini ni kubwa mnoo, St. Jude huenda ni miongoni mwa taasisi za Elimu zilizokuwa zinawindwa kuangamizwa kwa muda mrefu sana, maana ni miongoni mwa taasisi za mtaji wa kimaendeleo ya kijamii kwa kizazi cha watoto na vijana waliopo kanda ya Kaskazini.
una uhakika au unaropoka tu!Na ndio huwa vichaka vya wakwepaji kodi.....
Uko sahihi,ndio maana ni lazima sana kupata madai ya upande wa TRA ili Kuweza kusema ni uonevu ama laHii shule ni Non Profir Business, najiukiza kodi inatokana na nini? Labda kama kuna ane ewa kiundani upande wa pili atujuze maana huu ni mkanganyiko
duuuh!Deni hilo liliibuka kipindi cha kampeni pale uongozi wa shule ulipo gomea amri ya kupeleka wanafunzi wote na uongozi wa shule Sheikh Amri Abeid, kumshangilia Mzee Baba (Mitano tena)/.....
Kuna kitu kinaitwa cross subsidisation. Unachukua wanafunzi wachache wenye uwezo halafu unatumia ada wanayolipa kuwalipia wale wasio na uwezo. Aidha, ninavyojua mimi ni kuwa kodi inatakiwa kutozwa kwenye faida na sio mapato. Hata kwenye shule ambazo za kibiashara hauwezi kudai kodi kubwa kwa sababu tu ada yao ni shilingi milioni tano kwa kila mwanafunzi bila kuangalia gharama zao za uendeshaji kama mishahara ya walimu, vifaa vya masomo, usafiri, umeme, maji n.k. Kwa hiyo kabla ya kuwa shuku hawa kwa kosa la money laundering unatakiwa kupitia vitabu vyao. Na ukikuta kuwa wanapaswa kukulipa basi unakaa nao kuangalia namna gani wanaweza kukulipa bila kuathiri utoaji wao wa huduma hii muhimu. Ni vigumu sana kufidia siku ambazo wanafunzi watapoteza ikiwa shule itaendelea kufungwa. Busara ilitakiwa kutumika kabla ya kuwafungia account yao.Kwa juujuu ni RAHISI kukataa....
Ila.....
Ziko SHULE ZA MAYATIMA ambazo zinapata FEDHA ZA WAFADHILI ambazo haziko liable to tax....lakini ndani mwake WANASOMESHWA WATOTO WENGI MNO kwa ada ya WAZAZI NA NDUGU ZAO....
👆👆👆
Hapo huipati harufu ya MONEY LAUNDERING?!!!
Huu uonevu mkuu, tangu lini shule inayosomesha watoto bure that means ni charitable entity, swala la kodi linatoka wapi??? and why now,?Uko sahihi,ndio maana ni lazima sana kupata madai ya upande wa TRA ili Kuweza kusema ni uonevu ama la
Sidhani kama ni wao ndio wamekuja huku JF bali ni sympathisers wao.Hao wamepeleka hadi Mahakama ya Rufaa wameshindwa! Kama hawakuwa wameomba Tax Exemption na ikakubaliwa wanapoteza muda wao tu huku JF.
Mbona hakuna sehemu inaonyesha walienda mahakamani? Ili sakata mimi nilianza kuliona kwenye YouTube channels sijasikia kwenda mahakamaniKama mahakamani wameshindwa kuna uwezekano hawana facts za kutosha kuhalalisha kutokulipa kodi.
OK ngoja nitafute upande wa pili labda kuna mzozo mwingine.Mbona hata juzi taarifa ya shule hii ilikuwemo kwenye magazeti ya TZ na ilielezwa vizuri tu imeanza lini mpaka shule ikafungua kesi Mahakama ya Rufaa na mara tu baada ga kushindwa kesi hiyo TRA wakachukua kodi zao kutoka kwenye akaunti zao za Benki. Kasome gazeti la Mwananchi la Jumanne mkuu utapata habari kamili.
Hiyo cross subsidisation haipo hapo....kwani SHULE INAFADHILIWA NA WAAUSTRALIA...watoto hawatakiwi kulipa SUMNI KIPANDE.......Kuna kitu kinaitwa cross subsidisation. Unachukua wanafunzi wachache wenye uwezo halafu unatumia ada wanayolipa kuwalipia wale wasio na uwezo. Aidha, ninavyojua mimi ni kuwa kodi inatakiwa kutozwa kwenye faida na sio mapato. Hata kwenye shule ambazo za kibiashara hauwezi kudai kodi kubwa kwa sababu tu ada yao ni shilingi milioni tano kwa kila mwanafunzi bila kuangalia gharama zao za uendeshaji kama mishahara ya walimu, vifaa vya masomo, usafiri, umeme, maji n.k. Kwa hiyo kabla ya kuwa shuku hawa kwa kosa la money laundering unatakiwa kupitia vitabu vyao. Na ukikuta kuwa wanapaswa kukulipa basi unakaa nao kuangalia namna gani wanaweza kukulipa bila kuathiri utoaji wao wa huduma hii muhimu. Ni vigumu sana kufidia siku ambazo wanafunzi watapoteza ikiwa shule itaendelea kufungwa. Busara ilitakiwa kutumika kabla ya kuwafungia account yao.
Amandla...