Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Kwanini hajaweka hizo nyaraka hadharani kuthibitisha madai yake? Kwanini hajaonesha ushahidi wake?

Unadhani watu wote wana haraka haraka. Watu wengine wanajua kwenda hatua kwa hatua. Kama anazo atazitoa tu. Mtu mzima kuongea kitu kizito kama hicho na hana evidence itakuwa ajabu sana na itapaswa iitwe ahojiwe vizuri. Tulia tu tuone mchezo unaishaje.
 
Kuna ukweli hapa,nakumbuka kipindi Lisu aliposhambuliwa Silaa alitia pamba masikioni hata ule utu wa kukemea tu ulimshind,zaidi alikuwa akikandia.. Noma sana ila raisi angekuwa Ana Tibaijuka tusingemuona na huu uchungu na mapenzi ya nchi .
Tena alisemaga kabisa kuwa Lissu siyo wa kwanza
 
Inauzwa aisee, ila bei yake haijafikia ile ya Bandari

Hivi UVCCM mnapata kamgao?
Mngekuwa na akili mngeweka ushahidi badala ya huu uzushi wenu wa kitoto usio na hata ushahidi wa aina yoyote ile.
 
Mara ngapi dkt Slaa amezusha na kuongea uongo hadharani? Unakumbuka dkt Slaa amewahi kuongea uongo kuwa kuna gari limebeba maboksi ya kura feki?
 
Mngekuwa na akili mngeweka ushahidi badala ya huu uzushi wenu wa kitoto usio na hata ushahidi wa aina yoyote ile.
Dr. Slaa hawezi kuropoka na ana akili kuliko zako Lucas, haiwezekani MAFIA iuzwe akae tu kimya kama Mang'aa
 
Wewe ni mgonjwa wa akili. Ungetenga muda angalao ushughulikie tatizo lako la afya ya akili yako kuliko kuleta upuuzi humu JF.

Ungekuwa na uzima wa akili japo kidogo, ungeorodhesha wakati wa utawala wa Mkapa au Magufuli ni rasilimali gani ziliporwa na kuwagawia wageni kupitia mkataba wa kishenzi kama ule wa DP World. Ungeeleza pia wakati wa hizo tawala ni nani waliwahi kuhamishwa maeneo yao ya asili na kupelekwa mbali kabisa, ili kutimiza matakwa ya waarabu ambao hawataki kuwaona wamasai Ngorongoro. Fikiria mtu anahamishwa toka Manyara, anavuka Arusha, Kilimanjaro, na kupelekwa Tanga, kwenye mazingira mageni kabisa.

Halafu ulivyo na akili na kumbukumbu ndogo umeshindwa kukumbuka kuwa kiongozi mkubwa aliyetajwa kuwa ni fisadi wakati wa utawala wa Kikwete alikuwa ni Hayati Lowasa RIP. Hivi Hayati Lowasa alikuwa muislam?

Mtu kama Lucas Mwashamvwa ifahamike ni mgonjwa wa kichwani apuuzwe kwa maandiko yake takataka.
 
Lukasi jifunze kuona mazuri katika ubaya , na ubaya katka uzuri.Zingatia Hakuna kizuri kisicho na ubaya, na Wala Hakuna kibaya kisicho na zuri.Kuona ubaya katika uzuri sio kosa, ila kosa ni kuona uzuri na kuutangaza na kuficha ubaya wake....
 
Kinachomsumbua Dr slaw ni uroho wa wa madaraka.
 
HEKIMA ZITUMIKE, WANAJARIBU KUICHOKONOA SEREKALI YETU, KISA MAMA AENDA VIZURI MNO KATIKA KUENDESHA NCHI YETU, WANATAFUTA NJIA YA KUFANYA LOLOTE ILI WAKAMATWE SIFA NZURI ZA MH. SSH ZIARIBIKE, APUUZWE TU NA MSEMAJI WA SEREKALI KESHO MAPEMA SANA ALITOLEE UFAFANUZI HILI
 
Ndivyo walivyo akitawala muislam,huanza kampeni za kuusakama utawala,zamani ilikua kupitia magazeti,siku hizi hayana nguvu,ni mitandao,kampeni za kumfanya mtawala muislam aonekane bogus
 
Dr. Slaa hawezi kuropoka na ana akili kuliko zako Lucas, haiwezekani MAFIA iuzwe akae tu kimya kama Mang'aa
Mara ngapi dkt Slaa ameropoka uongo hadharani? Umesahau habari za kura feki?
 
Ndivyo walivyo akitawala muislam,huanza kampeni za kuusakama utawala,zamani ilikua kupitia magazeti,siku hizi hayana nguvu,ni mitandao,kampeni za kumfanya mtawala muislam aonekane bogus
Wanakuwa wanafanya kazi ya kuzusha vitu vya uongo na uchonganisha kwa lengo la kuichafua serikali na Rais wetu.
 
Chuki na udini isiwe 'defensive mechanism' kwa viongozi kuambiwa ukweli, tafadhali.
 
Naona umeanza kwa matusi na kusema kuwa mimi ni mgonjwa wa akili ,ilihali wewe siyo daktari wangu.hapo umeonyesha ujinga wako na upofu wako wa akili. Nakusamehe bure tu maana watu aina yako haina sababu ya kubishana nao kwa kuwa ni kupoteza muda tu.
 
Ukweli upi?uongo na uzushi ndio inaita UKWELI? Mtu kweli anakuwekea na ushahidi mezani wa kinyaraka na siyo kuropoka tu uongo uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…