Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

..anamzungumzia Bashite.

..nani anamheshimu mwanaume[bashite] mwenye maumbile ya kike?

..ndio maana Nabii Lema anasema Bashite anatakiwa kupewa massage kama wakinadada.
Hajataja Jina lakini.
 
Tunaomba ka video kidogo Ili sisi tulioko huko nyonyo's zone tujionee!

Samia Samia Samia for president 2025, huyo January wao wakampe Urais wa Chuo.

Samia naamini unajua sisi tuko na wewe ila watch it mamangu jmn!
 
Ingia U-Tube, Kusaga Tv, IPO video.
 
MAKONDA
 
Atakuwa anamsema Mwenyekiti wao bitozo
 
Hakika kajisema yeye. Kwani nani nchi hii anayemfahamu Kinana na moyoni mwake anamheshimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…