Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Huyu Mzee anazeeka vibaya sana





Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe mzuri. Mfano mtu kama yule mbunge wa Tabora mjini anagombana na hawara yake na clip yao inasambaa Tanzania nzima, sasa huyo ni mbunge kweli au muhuni.
 
atakua ni Tindo Lusi huyo wa chagademia
 
Bashite
 
Atakua anawasema wazee waliostaafu ndani ya ccm mfano mzee Malichela, Makamba, n.k wazee umri umeemda lakini wapo tiyari ona nchi inaangamia na wao kaa kimia
 
CCM😘😂😂😂😂🤐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…