Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Kuna mambo wala hayana haja ya kujadili sana, sometimes tuwe serious maisha kukomboa familia na kuondoa umasikini, kila kauli za wanasiasa watu mnataka kufanya mada ili ilete faida gani sasa
Kwamba unatushauri tupuuze kauli za viongozi wetu wa chama na Serikali?

Hiyo pia ni TABIA mbaya!!
 
Pana urafiki Gani kati ya Giza na Nuru?

Ukienda huko, Baki huko huko!!
 
Ujinga ni tatizo sana katika hii Nchi,mto mada anaakisi ujinga wa Watanzania wengi-hivi unaletaje habari as if kila moja amesikia alicho kisema huyo Kinana.
 
mleta mada nadhani , ingekaa vzr Kama ungeweka , na nukuu ya comrade hapo chini .
Amesema Kuna viongozi ndani ya chama na Serikali wenye vyeo vikubwa ila hawaheshimiwi sababu Wana TABIA mbaya.
 
Ujinga ni tatizo sana katika hii Nchi,mto mada anaakisi ujinga wa Watanzania wengi-hivi unaletaje habari as if kila moja amesikia alicho kisema huyo Kinana.
Amesema ndani ya chama na Serikali yake, Kuna viongozi Wana vyeo vikubwa hawaheshimiwi sababu Wana TABIA mbovu!!
 
Haya ndiyo maajabu huko ccm makamba alisema watu wema hawafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…