Wamngoe kwa nini? Mbona mambo haya Zanzibar huyasikii?Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Amekwapua michango ya tone toneWamngoe kwa nini? Mbona mambo haya Zanzibar huyasikii?
Siasa za Kambaya, baada ya kutumika na Lipumba , hatimae Lipumba na kambaya wote wamefukuzwa cufSafi sana, hawa ndio viongozi wanaotakiwa
kwa kufisidi pesa za chadema na kujitangaza mwenyewe kua ni mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake 🐒Wamngoe kwa nini? Mbona mambo haya Zanzibar huyasikii?
Siaasa za Tanzania Bara ni siaasa kutafuta ugali wa mtu. Ukizingia kama huhusiki utavunjwa miguu watu wanakula mapataoAmekwapua michango ya tone tone
Wala hauchekeshi, unaonesha ujinga tukwa kufisidi pesa za chadema na kujitangaza mwenyewe kua ni mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake 🐒
Heche anataka kumpindua Lisu ahodhi chama peke yakekwa kufisidi pesa za chadema na kujitangaza mwenyewe kua ni mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake 🐒
kama lisu, alivyompindua mbowe, mbowe kakasirika kuchukuliwa ugali wake, akajiweka pembeniSiaasa za Tanzania Bara ni siaasa kutafuta ugali wa mtu. Ukizingia kama huhusiki utavunjwa miguu watu wanakula mapatao
kwa kufisidi pesa za chadema na kujitangaza mwenyewe kua ni mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake 🐒
Kamwambia tu mjumbe wa nyumba 10 akupishe weye ktk nafasi yake, utaona mziki wakekama lisu, alivyompindua mbowe, mbowe kakasirika kuchukuliwa ugali wake, akajiweka pembeni
Hizi drama ni za ccm, na nawaambia hata HECHE akiondoka anayekuja ni hatari kuliko heche bora heche abakiHeche anataka kumpindua Lisu ahodhi chama peke yake
Huyu inaelekea ni fala Fulani pumbavu anasaka kiki kwa style ya kiwendawazimuKiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Heche aondoke aje nani ? Heche yupo sana hao mashetani watafeli waoHizi drama ni za ccm, na nawaambia hata HECHE akiondoka anayekuja ni hatari kuliko heche bora heche abaki
Siyo kweli hizo ni propaganda za kishamba sanaHeche anataka kumpindua Lisu ahodhi chama peke yake
Watanzania wa sasa wameamka huwa hawasikilizi wendawazimu washamba wa vijijiniMtu mpaka anauza hakiba ya Chakula kukimbambania Chama una mdharau?
🤓acha uongo mkuu.kwa kufisidi pesa za chadema na kujitangaza mwenyewe kua ni mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake 🐒
Amekwapua michango ya tone tone