Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

Heche anataka kumpindua Lisu ahodhi chama peke yake
wenye chama wamemchachamalia mbaya sana,

na for sure wanaweza kumg'oa mapema hata kabla ya hukumu ya Tundu Lisu, ambae heche kamtangaza juzi kua Lisueni makamu mwenyekiti wa chadema taifa tu na si vinginevyo 🐒
 
Michael
Michael ni mpiga debe wa Ignas Malocha Mbunge wa zamani wa Kwela Jimbo ambalo kwa Sasa Mbunge wake bandia ni Deus Sangu Waziri wa Kazi, Ajira..... Kajiunga CHADEMA lini?
 
Michael

Michael ni mpiga debe wa Ignas Malocha Mbunge wa zamani wa Kwela Jimbo ambalo kwa Sasa Mbunge wake bandia ni Deus Sangu Waziri wa Kazi, Ajira..... Kajiunga CHADEMA lini?
Kajiunga we ulivyokua umelala
 
Huko kutamka mkuu,ni kweli?
Yes,
ni kweli kabisa ndugu mdau wa JF,
Fisadi heche kajitangaza kua yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa na lisu ni makamu wake tu na hakuna wa kubadilisha ukweli huo japo kuna wazee wanajaribu kumkemea heche aache ubabe
 
"If you decide to live like a, DOG, you should die like a DOG"
HE Paul Kagame.
Yaani, kuna, mijtu imekubali ku bend over na kutumiwa na ccm kama toilet paper,
Sasa mnataka aachie madaraka kwa kosa gani? Kweli ccm mmeshikwa by the balls, the mind is now following
 

UVCCM wamekuja na kelele nyingi week hii. Ni mpango maalumu kuhujumu MO29.
 
Halafu anavyoongoea, kama hajalewa kido atakuwa kavuta ile kitu.
 
Mtu kavaa jezi ya Man United atakua na akili huyo😂😂

Ana maumivu ya Leeds huyo
 

Kwaiyo ndio kusema Maandamano ya 29 /10 ni ya kumuondoa Heche mikocheni au??????
 
Yes,
ni kweli kabisa ndugu mdau wa JF,
Fisadi heche kajitangaza kua yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa na lisu ni makamu wake tu na hakuna wa kubadilisha ukweli huo japo kuna wazee wanajaribu kumkemea heche aache ubabe
Mbona anataka kukivuruga chama huyu
 
Wakitaka kufanya Maandamano wakombe kibali kwanza waseme njia zipo watapita kwenda Mikocheni kung,oa lile Jino !!
 
Lkn Heche nilikwambia chukua chako Mapema

Chadema kina wahuni wengi

Tatizo kubwa ni Chama kukosa pesa za ruzuku
Mikoani hawawezi kukuelewa kabisa njaa ya miaka 4 !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…