Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

Nimemsikiliza huyo jamaa kwa umakini lakini sijaona hoja ya msingi aliyoleta mezani zaidi ya kutafuta huruma kwa watu. CHADEMA ni taasisi ambayo ina utaratibu wa kuwasilisha maoni. Je, ameuzingatia?
 
Mbona anataka kukivuruga chama huyu
In fact licha ya kufisidi pesa nyingi sana za chadema na kutumia vibaya ofisi za chama kwa manufaa binafsi na familia yake, stili kiongozi huyo alijipa uenyekiti wa chadema taifa kavurugwa pia na mikopo ya kausha damu na ndio inayomchanganya zaidi na kuivuruga chadema atakavyo
 
Kwani chama hakina taratibu za ndani kuzungumza mambo ya ndani ya chama? Taratibu za chama zinasemaje kuhusu jambo kama hilo?
 
Zezeta wewe.

 
Mtu mpaka anauza hakiba ya Chakula kukimbambania Chama una mdharau?
Hizo ni blah blah tu.

Ameuza mahindi kwa maneno, hatujaona mahindi, hatujaona risiti ya mauzo.

Zimeanza kampeni za kukivuruga Cdm wenye akili tunajua.

Kampeni za kumrejesha Mbowe na hukumu ya Lisu tunaijua.
 
Hizo ni blah blah tu.

Ameuza mahindi kwa maneno, hatujaona mahindi, hatujaona risiti ya mauzo.

Zimeanza kampeni za kukivuruga Cdm wenye akili tunajua.

Kampeni za kumrejesha Mbowe na hukumu ya Lisu tunaijua.
Ameuza kweli mahindi, kwa ajili ya kukipambania chama
 
Heche anafanya mikutano ila Hawa wahuni wamejificha vyumbani na stori za kijinga. Wao wanafanya nini kujenga chama?.
 
 
Kijana hana akili nyingine zaidi ya kubet na kula rushwa kutoka kwa abdul! Shame on you mbwa wewe!
 
Upumbavu mwingine msiwe mnauleta humu.

Au tumeishiwa habari za maana?
 
kwa kufisidi pesa za chadema na kujitangaza mwenyewe kua ni mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake πŸ’

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ujinga wako huwa unanifurahisha sana japo wewe unatengeneza pesa kirahisi
 
Sometimes kina post JF zimejaa upuuzi mwingi sana...😁 Anyway RD is back!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…