Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

Ha haaaa auze hadi kalio.......hii nchi ina wajinga wengi ndio maana ukombozi unachelewa.
 
Mtu mpaka anauza hakiba ya Chakula kukimbambania Chama una mdharau?

Ndio maana hujui kuandika kama zezeta mwenzio huyo anayesema anatokea mkoa wa Sumbawanga , ambapo kimsingi hakuna mkoa unaoitwa hivyo.

Hakiba ❎️, Akiba✅️

Kukimbambania ❎️ , Kukipambania✅️

Una mdharau❎️, Unamdharau✅️

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…