Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Duh hawa jamaa ni hatari sana wamechoka wataka kumaliza kazi na kupumzika
Ni kweli, hii vita inatakiwa iishe haraka ili dunia ipumue, yaani Ukraine apate kichapo na rais wao aidha auawe au akamatwe ili mazungumzo yabadilike maana ni mjinga sana anaruhusu nchi kuchafuliwa kijinga namna ile huku NATO wapo kimya. Kwanza hata wanajeshi wa Ukraine ni wajinga, it was good for them ku surrender. Ila kwa sababu kuna ka kikundi ka NATO ambako ndiko kanafanya juhudi ya kuua wote wanaozungumza ki Russia basi hakawezi kukubali.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawa Putin walimuonyeshaga joto ya jiwe. Sema sasa eti wamekuwa marafiki na Putin.
Pesa na vyeo viliwalainisha...

Japo usisahau Urusi ilitumia nguvu Sana kuzima uasi wa Chechnya.
 
Russia hajaonyesha udhaifu wowote, Putin na Russia wamekuwa na huruma sana na alisema tangia mwanzo kuwa wao hawanashida na wananchi wao wanamtaka pappet Zelensky na kushika ukrain na kufanya reform upya hakuna jingine sasa yule pappet Zelensky kaingia mkenge kwa kuwasikiliza USA na NATO akaamua kuvunja mkataba wa Minsk(nadhani nimesahau spelling Ila ujumbe umefika) ilo moja, tatzo lingine Zelensky amekuwa akifanya unyanyasaji na mauaji ya watu wa majimbo huru kwa takriban miaka 10 huku akipotezea onyo za Russia. Putin anawafanyia fair tu
 
We muongo, unaandika uongo mtupu.
 
Nchi huru Chechnya au ipi hiyo mnaizungumzia.

Chechnya au Chechen ni republic kama ilivyo Zanzibar ndani ya Tanganyika ila sio nchi huru.
 
Ila Kuna watu waongo aisee
 
Jamani hili sio Taifa huru ni jamhut zilizo ndani ya Urusi na mkumbuke Urusi ni shirikisho na sio nchi Moja.
 
Huko Chechnya si ndio Putin alichinja sana waislamu, leo masheikh wa bongo wanavyomsifia huyo Putin.
Ile haikuwa vita ya Waislamu ila vita kati ya wachechnya wanaotaka kujitenga na jeshi la Urusi.
Kwa hiyo aliwapiga bila huruma kabisa.
Na kushinda vita ile
 
Ile haikuwa vita ya Waislamu ila vita kati ya wachechnya wanaotaka kujitenga na jeshi la Urusi.
Kwa hiyo aliwapiga bila huruma kabisa.
Na kushinda vita ile

Lile ni jimbo la waislamu na walijaribu mzuka wa kidini ila aliwapiga kichapo cha mbwa, leo masheikh wa bongo wanamshobokea kama mtume kisa kavamia Ukraine wanadhani wamekomoa Marekani.
 
Yes. Akili kijiko nguvu tembo ndo marafiki wa Putin. Na washabiki wengi wa Putin huku ni wale wanakaaga vijiweni akili hawana. Kwa kifupi huwa wanalishwa hadi chakula. Hawajui lolote kuhusu uchumi
Needless to say;this is beyond your pay grade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…