Walimnyooosha Sana kipind wakitaka kujitenga na kutumia Sharia kujiongoza, akawahofia misimamo mikali kumletea magaidi Russia.
Walimsumbua sana putin mwishowe akaona awaachie waishi wanavyotaka wao kwa mfumo wa Sharia.
Na sahv wamekua jamii inayojitegemea kabisa, wanakiongoz wao na Wanampenda Sana Putin Kama godfather wao kuwapa uhuru.
Kule chechniya,
-Ukikutwa na MKE wa mtu unapigwa mawe unauwawa, na putin wala haingilii
-ukiiba unakatwa mkono, na Putin wala haingilii.
Kule Ni marufuku kufungua kanisa,Ni misikiti TU.