Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Duh hawa jamaa ni hatari sana wamechoka wataka kumaliza kazi na kupumzika
Ni kweli, hii vita inatakiwa iishe haraka ili dunia ipumue, yaani Ukraine apate kichapo na rais wao aidha auawe au akamatwe ili mazungumzo yabadilike maana ni mjinga sana anaruhusu nchi kuchafuliwa kijinga namna ile huku NATO wapo kimya. Kwanza hata wanajeshi wa Ukraine ni wajinga, it was good for them ku surrender. Ila kwa sababu kuna ka kikundi ka NATO ambako ndiko kanafanya juhudi ya kuua wote wanaozungumza ki Russia basi hakawezi kukubali.
 
Hawa jamaa Ni Kama wale waarabu wa TALEBAN sema wao Ni wazungu pure.

Wanamisimamo mikali sana Hawa, na wanachukia sana ubepari na wamarekani kuliko kitu chochote kile.

Ndo Maana putin alivyotangaza kuivamia Ukraine, Hawa walivaa gwanda wakatangulia vitani Moja kwa moja Bila hata kumjulisha Putin

Mbele ya Safar ndo barua ikamfikia Putin kua wanamunga mkono
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawa Putin walimuonyeshaga joto ya jiwe. Sema sasa eti wamekuwa marafiki na Putin.
Pesa na vyeo viliwalainisha...

Japo usisahau Urusi ilitumia nguvu Sana kuzima uasi wa Chechnya.
 
Ni katika hayo mapambio tu, Russia kwenye hii vita kaonyesha udhaifu mkubwa mpaka magenerali wake wanaonekana dhahiri frustrated

Alifikiri vita ni kuangusha majengo marefu tu ya raia, kwa mfano anaangusha jengo residential house refu lakini wanakufa watu 4 tu, hajui watu wako wapi wala chochote akiingia mtaani wanagongwa ni raia waliopewa silaha kwa siku ya vita

Poor putini
Russia hajaonyesha udhaifu wowote, Putin na Russia wamekuwa na huruma sana na alisema tangia mwanzo kuwa wao hawanashida na wananchi wao wanamtaka pappet Zelensky na kushika ukrain na kufanya reform upya hakuna jingine sasa yule pappet Zelensky kaingia mkenge kwa kuwasikiliza USA na NATO akaamua kuvunja mkataba wa Minsk(nadhani nimesahau spelling Ila ujumbe umefika) ilo moja, tatzo lingine Zelensky amekuwa akifanya unyanyasaji na mauaji ya watu wa majimbo huru kwa takriban miaka 10 huku akipotezea onyo za Russia. Putin anawafanyia fair tu
 
Hiyo habari ya kugawa chakula ni ya kutoka TV ya russia hata CNN wali " quote" ukibisha tutakuwekea hapa.
Au vipi ile script iliyosomwa Umoja wa Mataifa mazungumzo ya askari wa kirusi na Mama yake kabla hajapigwa risasi na ma sniper wa Ukrain. Kifupi anasema walidanganywa waliambiwa mazoezi tu wakajikuta wako vitani.

Na ile Helicopter ya KA-52 warusi waliilinganisha na Apache ya US zimetunguliwa na Ukrain mpaka china aliyetaka kuzinunua ameziponda sana wanasema bora kumbe za kwao.

Halafu hayo mambo ya njaa kali kwa Askari yamepatikana baada ya ma Hacker wa nchi mbalimbali kunasa mazungumzo ya askari wa urussi kibao toka vita vianze wakiongea a kupanga mipango ya vita, ndio mara dizeli na msosi wameishiwa wanajadili. Sasa watu walidhani jeshi super power kama urussi vipi mazungumzo yananswe kirahisi mpaka meja jenerali mmoja akauawa sababu sniper alijua anakuja na helikopta. Hii ni vita ya David na Goliath. Putin anasota sanampaka huyo jamaa kauona msoto anataka kumsaidia.

Labda atumie zile mbinu za Syria kuoiga mabomu mtaa kwa mtaa sambaratisha mpaka paka na mbwa.

Ukweli ni kwamba wa Chechnya wapo wanapigana toka muda tu. Kumbe putin ni kujimwambafai sana na nuklia. Nuklia hata india wanazo nchi ambayo inasemekana raia wengi hawana vyoo.

Ila ikifikia vita ya mitaani mano to mano bado US Marines ni moto wa kuotea na huwezi nasa mazungumzo yao.

Wala hawavai nguo za jeshi za adui kama wanavyofanya warusi kuogopa kichapo.

Putin atashinda hatimae ila atavuliwa nguo zote
We muongo, unaandika uongo mtupu.
 
Hawana njaa kabisa Hawa jamaa,
Wanajitegemea kwa kila kitu na wanaserikali Yao kabisa na kiongozi wao.

Putin Ni Kama godfather wao,
kaheshimu maamuz Yao Kama nchi huru, Ni waislamu Safi na wanajiendesha kwa Sharia Kama vile wako uarabuni.

Na uone walivyo na morali,
Kiongozi wao ndo Yuko mstar wa mbele kwenye Hii Vita uko Ukraine, hakai ofisni Wala kambini kutuma vikosi.

Yuko na vikosi Mona kwa Moja kwny battlefield, ndo uyo unaemuona.
Nchi huru Chechnya au ipi hiyo mnaizungumzia.

Chechnya au Chechen ni republic kama ilivyo Zanzibar ndani ya Tanganyika ila sio nchi huru.
 
Walimnyooosha Sana kipind wakitaka kujitenga na kutumia Sharia kujiongoza, akawahofia misimamo mikali kumletea magaidi Russia.

Walimsumbua sana putin mwishowe akaona awaachie waishi wanavyotaka wao kwa mfumo wa Sharia.

Na sahv wamekua jamii inayojitegemea kabisa, wanakiongoz wao na Wanampenda Sana Putin Kama godfather wao kuwapa uhuru.

Kule chechniya,
-Ukikutwa na MKE wa mtu unapigwa mawe unauwawa, na putin wala haingilii

-ukiiba unakatwa mkono, na Putin wala haingilii.

Kule Ni marufuku kufungua kanisa,Ni misikiti TU.
Ila Kuna watu waongo aisee
 
Hawa jamaa wangekua Ni washari Sana afu wakawa na vifaa pamoja na nyuklia Kama Russia.

Sidhan Kama marekani na washirika wake wangekua katika uso wa dunia mpk Leo hii.

Kwa chuki walonayo dhidi ya wamarekani wangeshawalipua Moja kwa moja Bila kujiuliza Mara mbili.
Jamani hili sio Taifa huru ni jamhut zilizo ndani ya Urusi na mkumbuke Urusi ni shirikisho na sio nchi Moja.
Screenshot_20220305-210546.jpg
Screenshot_20220305-210743.jpg
Screenshot_20220305-210804.jpg
Screenshot_20220305-211031.jpg
 
Huko Chechnya si ndio Putin alichinja sana waislamu, leo masheikh wa bongo wanavyomsifia huyo Putin.
Ile haikuwa vita ya Waislamu ila vita kati ya wachechnya wanaotaka kujitenga na jeshi la Urusi.
Kwa hiyo aliwapiga bila huruma kabisa.
Na kushinda vita ile
 
Ile haikuwa vita ya Waislamu ila vita kati ya wachechnya wanaotaka kujitenga na jeshi la Urusi.
Kwa hiyo aliwapiga bila huruma kabisa.
Na kushinda vita ile

Lile ni jimbo la waislamu na walijaribu mzuka wa kidini ila aliwapiga kichapo cha mbwa, leo masheikh wa bongo wanamshobokea kama mtume kisa kavamia Ukraine wanadhani wamekomoa Marekani.
 
Yes. Akili kijiko nguvu tembo ndo marafiki wa Putin. Na washabiki wengi wa Putin huku ni wale wanakaaga vijiweni akili hawana. Kwa kifupi huwa wanalishwa hadi chakula. Hawajui lolote kuhusu uchumi
Needless to say;this is beyond your pay grade.
 
Back
Top Bottom