Wazungu sio Waarabu mzee. Warabu si unaona hapo Palestina mwenzao anatembezewa mkong'oto yanakenua tu yanaangalia. Nenda kaiguse nchi yoyote ya Ulaya uone Wazungu wanavyokushukia kama mwewe.inamaana Cyprus itumike kuipiga Lebanon wao wachekewe?
Bibilia ya paulo ndio inakudanganya sio, basi sisi tunakuambia Israel hana ubavu huo time ya kumchinja ng'ombe wa Israel umekaribia.Hezbollah hana ubavu wowote wa kuishinda Israel.
Kuna vita inakuja muda si mrefu ambapo russia akiwa na turkey, iran na mataifa mengine ya kiarabu na ya afrika kaskazini yatapambana na Israel na still yatashindwa tena vibaya mno na ndo anguko la russia itatokea.
Haya ninayoandika najua wengi sana hapa JF watakejeli.
Nilitegemea URUSI nae ashukiwe kama mwewe, lkn sijaona.Wazungu sio Waarabu mzee. Warabu si unaona hapo Palestina mwenzao anatembezewa mkong'oto yanakenua tu yanaangalia. Nenda kaiguse nchi yoyote ya Ulaya uone Wazungu wanavyokushukia kama mwewe.
Au ndugu sema kweli katika ukuaji wako ni lini umesikia nchi kutoka nje ya Ulaya imeshambulia mwanachama wa Ulaya. Unahisi hawapendi?
Hezbollah ataishia kupiga mikwara tu na siku atayojaribu kuishambulia Cyprus ndio itakua mwisho wake.
Urusi anaingiaje hapo?Urusi akipeleka kwanini marekani anakuwa mkali?
Sema vijana wa Mudi huwa mna mikawara mbuzi. Mkipelekewa moto mtaanza pray for Lebanon.Jitanganye tu. Cypursu atoe basi aone. sio nyinyi chandema wale
mkuu ukiwachunguza hawa kobazi unaona kabisa ni mawakala wa ibilisi kwao damu kumwagika ni lunch.HAMAS walitamba hivyo hivyo sasa hivi wanabokolewa vilivyo kama kuku bandani.
Marekani anakwepa sana vita vya kuingia front mwenyewe sasa hivi, wahuni Iran, urusi watamlipizia humo humoamerican haingii?
Ni kweli mkuu dalili zote zipo, adui mkubwa wa Israel atakuwa USA+ NATO, picha inaanza hivi, kwa sasa dunia nzima imeaminishwa kuwa Israel anajua watoto na wanawake tu kwenye vita ya Hamas, mbeleni atakuja rais ambaye ataisaidia toka Marekani ambaye ataisapoti Israel kwa hali na mali na Israel atashinda vita , shida huyo rais ataingilia mambo ya kidini ya wayahudi, atataka wayahudi wamwabudu na kumsujudia, kutokana na misimamo mikali ya kiimani ya wayahudi watagoma na kumkatalia, shida itaanzia hapo, atasema kumbe Israel ni taifa ovu na ambalo halina shukurani, katika mshangao huo Israel itashambuliwa na taifa la kiarabu , Israel atajibu mashambulizi hayo kwa ukali mkubwa sana na kusababisha maafa makubwa sana( tactical nuclear) ,dunia nzima itaigeuka Israel kwa unyama ambao atakuwa amefanya ,vita ya harmagedonea ( third world war) itaanza kati ya marais yote makubwa dhidi ya IsraelKwa sasa hakuna taifa duniani la kuweza kuishinda kivita Israel, ila ipo vita muda si mrefu inakuja ambapo Israel itapigana na sehemu kubwa ya dunia ikiongozwa na nchi za EU chini ya mtawala mmoja wa dunia atakayetokea kwenye mojawapo ya nchi za EU hapo israel itakula kipondo heavy
Hicho nilichoandika aidha uwe hai, umekufa upo kuzimu au umekufa upo peponi habari zitakufikiaBibilia ya paulo ndio inakudanganya sio, basi sisi tunakuambia Israel hana ubavu huo time ya kumchinja ng'ombe wa Israel umekaribia.
Gogu ni russia katu haiwezekani kuwa marekani kumbuka marekani haipo kwenye unabii wa siku za mwisho na infact marekani itapungua sana kiuchumi na kijeshi mara baada ya unyakuo kutokea.Gogo na magogu
Hapo babel mkuu ni nani ni russia au mareksni?
Kejeli ruksa yatakapotukia utakumbuka nilichoandikahuna tofauti na wale wasabato masalia
Labda kama USA haitakuwepoKwa sasa hakuna taifa duniani la kuweza kuishinda kivita Israel, ila ipo vita muda si mrefu inakuja ambapo Israel itapigana na sehemu kubwa ya dunia ikiongozwa na nchi za EU chini ya mtawala mmoja wa dunia atakayetokea kwenye mojawapo ya nchi za EU hapo israel itakula kipondo heavy
We una malaria kaa utulie unywe dawa.Kama Obeida bado anawatungua, mtamuweza yeye?
Changamoto ya afya ya akiliKwa sasa hakuna taifa duniani la kuweza kuishinda kivita Israel, ila ipo vita muda si mrefu inakuja ambapo Israel itapigana na sehemu kubwa ya dunia ikiongozwa na nchi za EU chini ya mtawala mmoja wa dunia atakayetokea kwenye mojawapo ya nchi za EU hapo israel itakula kipondo heavy
Hakika bila America hakuna IsraelNasrallah kasema muda wowote wanakinukisha
Israel imesema wataifanya Lebanon kama Gaza
Marekani yamepeleka manowari zake Haifa
Kwani Ukraine sio Ulaya?Nenda kaiguse nchi yoyote ya Ulaya uone Wazungu wanavyokushukia kama mwewe.
Hata enzi ya Nuhu walikuwepo wengi wakikejeli gharika haiwezi tokeaChangamoto ya afya ya akili
US itakuwepo but wanaoiombea Israel usiku na mchana wengi sana watakuwa wameshanyakuliwa so watakaokuwa wamebakia US wengi ni wale wanaoichukia Israel mf Michigan ina jamii kubwa sana ya kiarabu na ambayo ina chuki kubwa mno kupindukia kwa israel sasa jamii hii ya watu itakuwa imejiingiza sana serikalini US miaka michache sana ijayo sasa pata picha US kwenye ngazi za maamuzi wawe wameshika waarabu, wasomali, na hata wazungu na races nyingine ambazo now wanaichukia Israel unafikiri US itangilia kati wakati huo Israel itakapokuw inapigwa na huyo kiongozi wa dunia? Halafu huyo kiongoz atakuwa ndo kiongozi wa dunia nzima US ikiwemo so ndo kusema kipindi hicho US itakuwa imedhoofika kiasi cha kutokuwa tena na ushawishi mkubwa duniani.Labda kama USA haitakuwepo