Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

Hiyo ni plan yao na Wamarekani lakini safari hii watashindwa vibaya sana.

Mmarekani, NATO na mazayuni hawaiwezi "all out war", wao wanategemea ndge za kivita na missiles zao.

Watu washasomea kutoka kwa Afghanistan namna ya kujihami nazo na namna ya kuwatandika. Mamrekani na NATO yote wameshindwa kuwazuia Taliban, ambacho walikiita kikundi cha ugaidi. Wametandikwa na sasa hicho walichokiita kikundi cha magaidi ndiyo kimeishka Afghanistan.

Sitoshangaa miaka michache ijayo vikundi vinavyoitwa vya kigaidi ndivyo vikaiteketeza ngome ya mazayuni na kuikomboiwa ghaza na Al Quds.

Harufu na hisia za ushindi zipo wazi kwa sasa.
 
Hii akili ya kuwafuta wazayuni ndio maana mnafeli Kila siku, kwanini hamuwezi kuishi na wengine mpaka muwafute, mtu mwenye akili hawezi shabikia huu uhuni wenu, mpigwe tuu
 
Hii akili ya kuwafuta wazayuni ndio maana mnafeli Kila siku, kwanini hamuwezi kuishi na wengine mpaka muwafute, mtu mwenye akili hawezi shabikia huu uhuni wenu, mpigwe tuu
Hakuna anaetaka kuwafuta, wanachotakiwa wawachie ardhi waliyojichukulia kimabavu. Bila hivyo hakuna amani.
 
HAMAS walitamba hivyo hivyo sasa hivi wanabokolewa vilivyo kama kuku bandani.
Wenyewe waliita Al Aqsa floods sasa wako mashimoni kama panya.

Na niwakumbushe tu mpaka sasa ambapo vita kamili haijatokea kati ya Hizbullah na IDF ninavyoandika hapa wanamgambo karibu 350 wa Hizbullah wanagombania bikra za Munyaazi huko kuzimu sikwambii ikianza hiyo total war nahisi huko kuzimu patakuwa hapatoshi.
 
Nasrallah kasema muda wowote wanakinukisha

Israel imesema wataifanya Lebanon kama Gaza

Marekani yamepeleka manowari zake Haifa
Huyo gaidi hana kabisa akili sasa hako ka Lebanon kana ulinzi gani.😰😰😰
 
Nimetumia Lugha nzuri tu, Umewahi kuona nchi toka nje ya bara la Ulaya imeshambulia nchi ya ulaya?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe wanabagua kama anayeshambulia ni mzungu au mwarabu!?
Kwahiyo Russia ana haki ya kushambulia taifa lolote hapo bara la Ulaya, sio?
 
Mkuu kichwa chako sio kizima 😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe wanabagua kama anayeshambulia ni mzungu au mwarabu!?
Kwahiyo Russia ana haki ya kushambulia taifa lolote hapo bara la Ulaya, sio?
Kajichanganya huyo hana point tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…