Wewe mbwa koko wa kotas utaingia kwenye 18 Siku si nyingi. Sasa tunamfahamu Casian aliyempiga mtama bulaya. Jeshi usu la kanda maalum liko kazini subirini kidogoah kumbe ni vijifupa vya mkono tu nndio vimevunjika! Mie nilijua ni vya shingo kabisa! Wakome kupeleka siasa kwa wazee wa kazi! Siku nyingine haitakuwa mkono, itakuwa shingo! Hizo siasa za fujo na mihemko hazijawahi kumwacha mtu salama! Asiyefunzwa na mama-e hufunzwa na mabingwa wa magereza! Kihelehele tu eti tukampokee bingwa, eeh mmepata kipigo cha mabingwa wenyewe sio feki na sasa mmetulia!
Roho zinawauma ccm tuluvyowachangia pesa za kulipa faini. Tutalipana hapa hapa hakuna cha ahera wala motoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri hii ni insta mliko zoea uongohiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
Hiyo ni picha imepigwa kwa upande na kwa kwa upana
Ni huo huo ulio vunjika Mbona
Sent from my iPhone using Tapatalk
Inzi wa bluuMpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo wewe unaweza?What if alitaka aumizwe kusudi ajenge hoja??
Mtaisha wote maana mtaonekana ni waasi,Wewe mbwa koko wa kotas utaingia kwenye 18 Siku si nyingi. Sasa tunamfahamu Casian aliyempiga mtama bulaya. Jeshi usu la kanda maalum liko kazini subirini kidogo
Nampa pole lakini nadhani pole haisaidii kwa sababu waliyatafuta wenyewe..licha ya kuonywa Mara kadhaa na Askari wale magereza, kwa nia nzuri tu lakini wao walidharau na kuwadharau Askari wale..hivi ulishaona wapi Askari anadharauliwa namna ile alafu akakuacha salama..nenda hata Marekani..#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭View attachment 1388537
Hiki ni kipindi cha kuwashughulikia mtaani majambazi wote tuliowavalisha crown tuanzia familia kwanza. Twende mbele hadi waone nao uchungu tuheshimianeKitendo cha mh.mdee kuanza kuwatolea matusi askari magereza kupima akili zao,,,asikirudie tena na tena wale jamaa hawanaga shida lkn linapokuja swala la kuwqchokoza ama zao ama zako, eti anaongelea mishahara yao!!!! Eti anamkashifu rais mbele yao nao hawakukubali rais akashifiwe mbele yao wakamwonesha alichokitaka,,,,Unamtukana amiri jeshi mbele ya askari wake!!!? Aisee Mdee aliyatafuta mwenyewe japo huwa nampenda tena sana
Baada ya kummaliza Souza chapati wa kekoMtaisha wote maana mtaonekana ni waasi,
Hasira hasara siku zote.
Wanaendesha siasa zao kisanii sanii tu..ndio maana hata Lissu ameshawashtukia..wamejifanya kumpa cheo Cha kupaka matope mwenzao anawasanifu tu..harudi ng'o..walitaka cheo Chao wakichukuetutaamini vipi kama ulichoandika ni kweli, sababu "makamanda" mna taaluma za kutengeneza matukio.
Hayo mambo yanawezekana kwenye mataifa ya madikteta tu, Siku wakidundwa kina polepole mtatambua...ah kumbe ni vijifupa vya mkono tu nndio vimevunjika! Mie nilijua ni vya shingo kabisa! Wakome kupeleka siasa kwa wazee wa kazi! Siku nyingine haitakuwa mkono, itakuwa shingo! Hizo siasa za fujo na mihemko hazijawahi kumwacha mtu salama! Asiyefunzwa na mama-e hufunzwa na mabingwa wa magereza! Kihelehele tu eti tukampokee bingwa, eeh mmepata kipigo cha mabingwa wenyewe sio feki na sasa mmetulia!
Hahahah sijui mtaongozwa na Nani..Mwenyekiti wenu ameshatubu mbele ya Padri tayari..na nyie tubuni makabisani na misikitini..mtaumiaHiki ni kipindi cha kuwashughulikia mtaani majambazi wote tuliowavalisha crown tuanzia familia kwanza. Twende mbele hadi waone nao uchungu tuheshimiane
Oooh haya.Baada ya kummaliza Souza chapati wa keko