Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
- Thread starter
-
- #41
Kama mnasambaza uongo na ujinga shida ipo kwa sababu uongo na ujinga unaathiri jamii nzima, pamoja na watu walio nje ya circles zenu, pamoja na watu ambao leo hawajazaliwa lakini watazaliwa.Kama tunasambaza uongo na ujinga shida iko wapi?
Nani alikwambia sio vizuri kusambaza uongo?
Nani aliyekwambia kuwa ni vibaya kuathiri jamii? ?Kama mnasambaza uongo na ujinga shida ipo kwa sababu uongo na ujinga unaathiri jamii nzima, pamoja na watu walio nje ya circkes zenu, panoja na watu ambao hawajazaliwa.
Yani ikiwa kuka mavi kunasambaza kipindupindu kwa jamii nzima, ni suala la pubkic health, hutakiwi kusema kama tunasambaza uobgo kuwa kula mavi ni kitu kizuri tatizo liko wapi.
Huelewi nini kwamba kuka mavi kunaketa madhara kwa janii nzima?
Are you that much of a brute?
Or are you just a troll?
Kwa nini swali liwe nani aliniambia?Nani aliyekwambia kuwa ni vibaya kuathiri jamii? ?
Ndo ungesema kama sio nani ni nini, na hiyo nini ni nini.Kwa nini swali liwe nani aliniambia?
Swali lako ni la kijinga kwa sababu limebeba anthropic bias.
Ila wewe ni mjinga ndiyo maana hujajua hilo.
Imani yetu si ya uongo na ujinga, kuithibitisha itakufaa kuwa mmoja wetu na si vinginevyo!Binafsi sijaingilia imani ya mtu.
Kuingilia imani ya mtu kimsingi labda umfuate nyumbani kwake, au umfuate msikitini, au umfuate kanisani.
Hapa ni JF. Public Square. Mada ikishakuja hapa ishakuwa kwenye pubkic square, kuijadiki si kuingikia imani ya mtu.
Na mimi hata sianzishi thread nachangia walichoanzisha wengone tu.
Sasa nawezaje kuingilia imani ya mtu kama topics zishaanzishwa kwenye public squre, tena nyingine hata sijaziona naitwa kuchangia. Ina maana kuna watu wanataka kujua fikra zangu.
Sasa hapo nikichangia utasemaje naingilia imani ya mtu?
Na hata wanaoanzisha mada, unaosema wanaingilia imani za watu, kama wewe imani yako ni ya kweli, kwa nini unaikinga sana isiingiliwe na watu? Si uwajibu tu maswali yao, uwajibu tu hoja zao mpaka wajue imani yako ni sahihi na ya kwenye ukweli?
Kwa nini unataka sana imani yako ikingwe isiingiliwe na watu?
Kwa nini unaifanya imani yako special sana?
Vipi kama kuna mtu imani yake ni kuingilia imani za watu?
Huoni kuwa ukitaka imani yako isiingiliwe na wewe utakuwa umeingilia imani ya huyo mtu ya kuingilia imani za watu?
Vipi kama imani yako ni ya kwenye uongo, unaeneza uongo na ujinga?
Huoni kuwa kutaka imani yako isiingiliwe ni kutaka ukweli na elimu visiifichue imani yako kuwa ni ya uongo na ujinga?
Kumuita mjinga mjinga si ad hominem attack.Ndo ungesema kama sio nani ni nini, na hiyo nini ni nini.
Lakini Umeresort kwenye Ad Hominen attack, Kwasababu Huna hoja.
Kwani kunaeffect gani hao watu wanaipata tukiwaeneza huo uongo na ujinga? Wanakuwaje yani?Kama mnasambaza uongo na ujinga shida ipo kwa sababu uongo na ujinga unaathiri jamii nzima, pamoja na watu walio nje ya circles zenu, pamoja na watu ambao leo hawajazaliwa lakini watazaliwa.
Yani ikiwa kula mavi kunasambaza kipindupindu kwa jamii nzima, ni suala la public health, hutakiwi kusema kama tunasambaza uongo kuwa kula mavi ni kitu kizuri tatizo liko wapi.
Huelewi nini kwamba kula mavi kunaleta madhara kwa jamii nzima?
Are you that much of a brute?
Or are you just a troll?
Kwanini umuite mtu anayetoa hoja yake kuwa ni mjinga? Kipi kinakufanya ujione upo sahihi kuliko huyu mtu?Kumuita mjinga mjinga si ad hominem attack.
Wewe umeuliza swali la anthropic bias, kwa sababu ni mjinga.
Ukweli ndio huo. Uutake, usiutake, ndio huo.
Hii kauli pia inathibitisha uongo na ujinga wako.Imani yetu si ya uongo na ujinga, kuithibitisha itakufaa kuwa mmoja wetu na si vinginevyo!
Sawa usiye muongo na mjinga!Hii kauli pia inathibitisha uongo na ujinga wako.
Aliyekwambia kuwa ni vibaya kuathiri jamii ni nani? Jibu unalo, Huna?Kumuita mjinga mjinga si ad hominem attack.
Wewe umeuliza swali la anthropic bias, kwa sababu ni mjinga.
Ukweli ndio huo. Uutake, usiutake, ndio huo.
Kwa sababu ni mjinga.Kwanini umuite mtu anayetoa hoja yake kuwa ni mjinga? Kipi kinakufanya ujione upo sahihi kuliko huyu mtu?
Kwa sababu hatutaki kuitwa wajingaKwa sababu ni mjinga.
Kutoa hoja yako haimaanishi huwezi kuwa mjinga.
Unaweza kutoa hoja yako, hoja yako ikaonesha wewe ni mjinga kwenye jambo hilo.
Ukitoa hoja inayoonesha ujinga wako kwenye anthropic bias, umejionesha wewe ni mjinga.
Huo ni ukweli.
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli.
Kiklla mtu ana ujinga, ujinga ni sehemu ya ubinadamu.
Sasa mkiambiwa hapa wewe ni mjinga, kwa sababu hii na hii, na sababu ina mantiki, mbona mnakuwa defensive sana?
Mbona mnakataa ukweli kuwa hapa mimi ni mjinga?
Unaelewa kukataa ukweli kuwa hapa mimi ni mjinga nao ni ujinga mwingine? Tena huo ni ujinga mkubwa zaidi kwa sababu unakunyima nafasi ya kujikosia na kujielimisha, unaelewa hilo?
Kwa nini mnakuwa defensive sana mkiambiwa wajinga?
Na mzee wa fallacy sio😁Leo mwendo wa Ad Hominems tu.
Utapelekwa ignore list sasa hivi
Ni kama ame update system ina bug. From fallacy to mjinga, mjingaNa mzee wa fallacy sio😁
Kutotaka kuitwa mjinga ni ujinga mwingine nimekuambia.Kwa sababu hatutaki kuitwa wajinga
Tatizo hutaki kuambiwa ukweli kuwa wewe hapa ni mjinga.Ni kama ame update system ina bug. From fallacy to mjinga, mjinga