Huyo shkh ajitambui, nachukia sana kuona kiongozi wa dini kutumika Kwenye kampeni (mambo ya kisiasa)Anasema kura zote za waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja
...haki gani, au haijui maana ya haki?Sasa Kama hata wenzake mnawanyima haki za msingi asiwaambie.
Sio Lema,ni RwakatareKuna wakati alikuwa jela nadhani na Lema kama sikosei wakajenga urafiki mkubwa sana hadi wa kusali pamoja mmoja anaanza kusali kwa dini yake mwingine anamalizia. Kusali pamoja bila kubaguana kulinigusa sana mimi nakuona bado kuna Watanzania wenye upendo wa kweli kwa Watanzania wenzao bila ya kujali tofauti zao zozote zile.
Nyie mnafahamu,ndio maana mkisikia maneno tu,Uhuru,haki na maendekeo mnaishiwa nguvu,na kuomba msaada kwani mnafahamu madhambi mliyowafanyia Watanzania....haki gani, au haijui maana ya haki?
Sifa za muislamu sio hzo za ponda kuwa ganda la ndizi...Mimi si muislam, ila nazijua sifa za uislam, ninamkubali sana huyu shekh Ponda na wala si mnafik kama wale wengine. Tupo pamoja wahanga wa risasi. Kanda ya ziwa idadi kubwa tutatoa hasira zetu kwa kuiangusha Serikali ya jiwe! Wavuvi wengi tumefilisiwa wengine wengi wameuwawa na kina mama kadhaa wamebaki bila wanaume zao.
Wakatoliki hawana tabia kama zakoMimi ni mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikapi kadinali pengo
Mimi ni mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikapi kadinali pengo
Unataka kusema ipo mbali na haki,hapo nitakukatalia.Sifa za muislamu sio hzo za ponda kuwa ganda la ndizi...
Huyo hana tofauti na wale wengne vibaraka tuu..
Dini yetu ipo mbali na hayo mambo..
Tena hapo Dodoma ndiyo hawapati Mbunge hata mmoja .Yamkini mtakusanya kila garasa, kuanguka Oct 28 kupo pale pale. JPM tano tena.
Mkuu iko hivi kwanza hapo Dodoma tutahakikisha hawapati Jimbo hata 1, pili kwa sababu wamejiandaa kuibiwa wataibiwa na hawatafanya chocho.wataiba tena bila presha yoyote how to evade ghost voters and ghost polling stations
Mapambano ya meshika kasi adui anakimbia uwanja wa mapambano....songaaaaa mbeleeeeee....
Ukweli halisi ni kwamba CCM washaiba kura nyingi sana hata kabla ya uchaguzi.Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga na wanaomuunga mkono wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
Kwa wajinga wajinga sio apo maana penye wajinga wengi ndio penye wana chama wa CCMTena hapo Dodoma ndiyo hawapati Mbunge hata mmoja .
Tunazilinda usiku na mchana,hatukubali waibe ng'o.Wamezoea vya kunyonga!Labda waibe kama walivyozoea,ila NEC wakitenda haki Ccm kwisha.
Haki tunazotaka waislamu hazpo Kwenye hizi siasa.
Huyo shkh ni shehena,mchumia tumbo asie jua kutofautisha tui na maziwa...tena ponda ni asiejitambua Allah amuongoze