Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Kuna wakati alikuwa jela nadhani na Lema kama sikosei wakajenga urafiki mkubwa sana hadi wa kusali pamoja mmoja anaanza kusali kwa dini yake mwingine anamalizia. Kusali pamoja bila kubaguana kulinigusa sana mimi nakuona bado kuna Watanzania wenye upendo wa kweli kwa Watanzania wenzao bila ya kujali tofauti zao zozote zile.
Sio Lema,ni Rwakatare
 
...haki gani, au haijui maana ya haki?
Nyie mnafahamu,ndio maana mkisikia maneno tu,Uhuru,haki na maendekeo mnaishiwa nguvu,na kuomba msaada kwani mnafahamu madhambi mliyowafanyia Watanzania.
 
Mimi si muislam, ila nazijua sifa za uislam, ninamkubali sana huyu shekh Ponda na wala si mnafik kama wale wengine. Tupo pamoja wahanga wa risasi. Kanda ya ziwa idadi kubwa tutatoa hasira zetu kwa kuiangusha Serikali ya jiwe! Wavuvi wengi tumefilisiwa wengine wengi wameuwawa na kina mama kadhaa wamebaki bila wanaume zao.
Sifa za muislamu sio hzo za ponda kuwa ganda la ndizi...

Huyo hana tofauti na wale wengne vibaraka tuu..
Dini yetu ipo mbali na hayo mambo..
 
Sifa za muislamu sio hzo za ponda kuwa ganda la ndizi...

Huyo hana tofauti na wale wengne vibaraka tuu..
Dini yetu ipo mbali na hayo mambo..
Unataka kusema ipo mbali na haki,hapo nitakukatalia.
 
wataiba tena bila presha yoyote how to evade ghost voters and ghost polling stations
Mkuu iko hivi kwanza hapo Dodoma tutahakikisha hawapati Jimbo hata 1, pili kwa sababu wamejiandaa kuibiwa wataibiwa na hawatafanya chocho.
 
Tanzania mpya yenye amani, upendo, Maendeleo ya watu, haki na uhuru kwa Watanzania wote bila kujali itikadi zetu is just around the corner. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mapambano ya meshika kasi adui anakimbia uwanja wa mapambano....songaaaaa mbeleeeeee....
 
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga na wanaomuunga mkono wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
Ukweli halisi ni kwamba CCM washaiba kura nyingi sana hata kabla ya uchaguzi.

Ukiangalia idadi ya wagombea wa CCM waliopita bila kupingwa kutokana na NEC kuwakata/kuwaengua wapinzani wao, huo ni wizi wa kura. Bado kuna wafanyakazi wa umma wanao tishwa wasipoipigia kura CCM, kuna walionyimwa haki ya kujiandikisha kutokana na imani zao za vyama, na pia kuna watakao koseshwa haki yakupiga kura kwa visingizio mbali mbali.

Kilicho baki ni kwa wale walio aminiwa na CCM kubadilisha gia angani tu. Lakini kama ni wizi tayari ulisha fanyika, na ni kwa bahati mbaya sana upinzani ulisha kubaliana na wizi wa aina hiyo nakuendelea na kampeni za uchaguzi.
 
Haki tunazotaka waislamu hazpo Kwenye hizi siasa.

Huyo shkh ni shehena,mchumia tumbo asie jua kutofautisha tui na maziwa...tena ponda ni asiejitambua Allah amuongoze

..umetumia maneno makali.

..Lissu na mtu wa HAKI, na Sheikh Ponda ni mtu wa HAKI.
 
Back
Top Bottom