King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Huyo shkh ajitambui, nachukia sana kuona kiongozi wa dini kutumika Kwenye kampeni (mambo ya kisiasa)Anasema kura zote za waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja
Lau angejua dini ilivyo mbali na haya mambo, basi asingekubali kuwa ganda la ndizi.