KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

600,000 Tzs kufadhili ugaidi sio Jambo dogo, kumbe ugaidi sio garama
Mkuu unafikiri nyumba unayokaa inahitaji petrol na kiberiti cha Shilingi ngapi kukuangamiza na familia yako? Laki 6 inaweza nunua madumu mangapi ya petrol na kuuwa wangapi au kuchoma Filling Stations ngapi. Hapo ndipo utajua impact ya laki 6 kwenye ugaidi. Gaidi ni mtu hatari sana
 
mtakoma na magaidi yenu mlifikiri hatuwajui mtatajana tu wote mnataka kuua mpaka mkuu wa wilaya? sasa anatoka kuja kutoa ushahidi huku mtakoma
Huyo ata atoke kesho ,alishafutwa pembe zote za dunia , hivyo hivyo yeyote asogeleaye nyayo zake amefutwa, asema bwana

Hatutwishwi na joka kuu, maana Bwana ametupa mamlaka ya kuyadhibiti hata yawe 1000
 
Aiseeh , nlikua najua kwa utisho na ukubwa wa neno "GAIDI", Basi Kuna hela ndefu Sana inayohitajika kuufadhiri!

Kumbe hata 600k inaweza fadhili MAGAIDI na ikatosha!!?

Kuna haja ya kujiadhali Sasa, maana naona wote Ni magaidi TU, kwn uwezekano wa kuipata 600k upo kwa Kila mtu aamuae!
 
[emoji3][emoji3] Habari yako bwana GAIDI?
 
Hivi unahitaji hela kiasi gani kukodi wavuta bangi wa kuchoma vituo vya mafuta?

Acheni mahakama ifanye kazi yake; Ayatollah Mbowe is presumed innocent until proven guilty!
 
gaidi ananyooshwa kwelikweli
Mbowe hana pressure. Hela yake iko benki (Uswisi, Dubai, SA, nk) imetulia inasubiri matumizi akitoka.
Halafu sasa hivi serekali inamgharamia chakula na malazi bure. Hatumii hata sensi tano yake. Wewe na mimi ndiyo tupo huku mitaani tunaitafuta sumuni ya kununulia hata chips dume.

Bila kusahau kuwa umaarufu wake unakuwa kila iitwapo leo. Kama Nelson Mandela!
 
Utajua tu kama aliwahi dhuriwa na Makengeza,ngoma ndo kwanza inaanza
 
Soma maelezo na ufafanuzi #195 kutoka kwa Omtiti ndipo utajua namna 600000/= inaweza kufanya UNYAMA NA UGAIDI wa ajabu!
 
ndiyo inabidi ujishangae wewe unayetoa mimacho kuangalia comment zinazomsemambowe iliuzijibu badala ya kwenda kutafuta hea ya chips dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…