Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Basi kama ni hivyo nchi yetu ipo kwenye risk kubwaUnashangaa nini?,hiyo pesa wanapewa wanywa viroba na ngada wakafanye yao kwenye vituo vya mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kama ni hivyo nchi yetu ipo kwenye risk kubwaUnashangaa nini?,hiyo pesa wanapewa wanywa viroba na ngada wakafanye yao kwenye vituo vya mafuta
Mkuu unafikiri nyumba unayokaa inahitaji petrol na kiberiti cha Shilingi ngapi kukuangamiza na familia yako? Laki 6 inaweza nunua madumu mangapi ya petrol na kuuwa wangapi au kuchoma Filling Stations ngapi. Hapo ndipo utajua impact ya laki 6 kwenye ugaidi. Gaidi ni mtu hatari sana600,000 Tzs kufadhili ugaidi sio Jambo dogo, kumbe ugaidi sio garama
huku uraiani mkuu kuna mahakimu na mawakili pia tushafanya yetu tayari tunasubiri simba athibitisheKesi bado ipo mahakaman Mkuu. Umesha hukumu tayari
Off course laki sita ni hela ndogo kwa kazi inayosemwa .... same as hiyo laki tatu unayodai ya Sabaya!!Laki sita inaona ndogo! Wakati sabaya ansumbuliwa kwa laki 30000
Baelezage mkulu!Mkuu unafikiri nyumba unayokaa inahitaji petrol na kiberiti ya Shilingi ngapi kukuangamiza na familia yako? Laki 6 inaweza nunua madumu mangapi ya petrol na kuuwa wangapi au kuchoma Filling Stations ngapi. Hapo ndipo utajua impact ya laki 6 kwenye ugaidi. Gaidi ni mtu hatari sana
Huyo ata atoke kesho ,alishafutwa pembe zote za dunia , hivyo hivyo yeyote asogeleaye nyayo zake amefutwa, asema bwanamtakoma na magaidi yenu mlifikiri hatuwajui mtatajana tu wote mnataka kuua mpaka mkuu wa wilaya? sasa anatoka kuja kutoa ushahidi huku mtakoma
[emoji3][emoji3] Habari yako bwana GAIDI?Aiseeh , nlikua najua kwa utisho na ukubwa wa neno "GAIDI", Basi Kuna hela ndefu Sana inayohitajika kuufadhiri!
Kumbe hata 600k inaweza fadhili MAGAIDI na ikatosha!!?
Kuna haja ya kujiadhali Sasa, maana naona wote Ni magaidi TU, kwn uwezekano wa kuipata 600k upo kwa Kila mtu aamuae!
Hivi unahitaji hela kiasi gani kukodi wavuta bangi wa kuchoma vituo vya mafuta?Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali...
Mbowe hana pressure. Hela yake iko benki (Uswisi, Dubai, SA, nk) imetulia inasubiri matumizi akitoka.gaidi ananyooshwa kwelikweli
Utoto at work.Unashangaa nini?,hiyo pesa wanapewa wanywa viroba na ngada wakafanye yao kwenye vituo vya mafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3] Habari yako bwana GAIDI?
Utajua tu kama aliwahi dhuriwa na Makengeza,ngoma ndo kwanza inaanzaHaya mambo yanashangaza, huku naona ugaidi, upande wa pili nasikia tena uhujumu uchumi, hawa jamaa naona wanaweka mashtaka yasiyo na dhamana ili waendelee kumuweka ndani.
Hii kesi naona imetengenezwa ili kuipoteza ile ya Sabaya, kule Sabaya akihojiwa anasema ana maadui wa kisiasa, hapo Kisutu wanasema Mbowe alimsababishia majeraha Sabaya, hayo majeraha aliyapata lini? wapi? waliripoti polisi? wana RB?
Soma maelezo na ufafanuzi #195 kutoka kwa Omtiti ndipo utajua namna 600000/= inaweza kufanya UNYAMA NA UGAIDI wa ajabu!Aiseeh , nlikua najua kwa utisho na ukubwa wa neno "GAIDI", Basi Kuna hela ndefu Sana inayohitajika kuufadhiri!
Kumbe hata 600k inaweza fadhili MAGAIDI na ikatosha!!?
Kuna haja ya kujiadhali Sasa, maana naona wote Ni magaidi TU, kwn uwezekano wa kuipata 600k upo kwa Kila mtu aamuae!
ndiyo inabidi ujishangae wewe unayetoa mimacho kuangalia comment zinazomsemambowe iliuzijibu badala ya kwenda kutafuta hea ya chips dumeMbowe hana pressure. Hela yake iko benki (Uswisi, Dubai, SA, nk) imetulia inasubiri matumizi akitoka.
Halafu sasa hivi serekali inamgharamia chakula na malazi bure. Hatumii hata sensi tano yake. Wewe na mimi ndiyo tupo huku mitaani tunaitafuta sumuni ya kununulia hata chips dume.
Bila kusahau kuwa umaarufu wake unakuwa kila iitwapo leo. Kama Nelson Mandela!