Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020


Exactly, you are right.....

Anything cheap is high price paid....

Tundu Lissu has paid for the URT Presidency very expensively with his blood & death....

So, the presidency of URT in return is very cheap this time and we all clearly see it....

Are you surprised?..... Well, you just keep waiting until you see yourself with naked eyes happening....

KARMA is a justice provider. Not every day is Thursday....
 
Nahisi shitaka hili ndiyo linaweza kumtia hatiani kama waendesha mashitaka wakiweka nguvu na kumdai uthibitisho.
Kauli moja hatari sana kwa mtu anayejinadi anakuja kuliunganisha taifa, kuleta umoja wa kitaifa.
 
How sure are you that the reason he got shot affiliates with presidency of Tanzania? Mind you, the incident occurred when we were three years behind the election!
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.

Alipotoka iyapoti akenda kuhutubia hakukimbilia kujifungia, akaomba wanachama wenzake wamsindikize msibani kesho yake. Siku ile akadanga cdm ina wanachama zaidi ya 6,700,000.
 
Mandolo na ID fake una guts za kuomba certifications za mtu humu kweli? Mind your own business brah, hukuchangia elimu yangu, huwezi ondoa haki zangu kikatiba.

Jamaa yako anataka kuomba ridhaa, challenges and critics are inevitable.

Kama ulisoma kwa mkopo wa bodi basi ujue ni kodi yake, ana haki kukudai vielelezo.
 
Hizo ndio waingereza wanaita "Trumped Up Charges".

Eti katika dunia ya sasa mtu bado anashitakiwa kwa kosa la uchochezi. Very Foolish.

Uchochezi ilikuwa ni mashitaka waliotumia wakoloni kujaribu kuzibia watu midomo wasidai uhuru na leo hii huko Uingereza kwenyewe hakuna kosa kama hilo.

Sasa leo hii unakuta nchi inayodai kuwa iko huru eti bado inakumbatia sheria za hovyo kama hizo ili kuwakomoa watu wenye mtazamo tofauti na wa mtawala.

Ndio maana hii nchi bila katiba mpya, hatutaenda. Mtawala anapoona anazidiwa hoja na wengine anakimbilia kumwamuru DPP ku-invoke hiyo sheria ya kijinga ili kuwakomoa wapinzani wake wa kisiasa.

Mataifa yanayotumia hizi sheria kandamizi dawa ni kuziwekea vikwazo tu. No way.
 
Yupo ISOLATION wakati ameshaaambukiza watu siku ya kwanza alipoingia wakati wa kumpokea na kwenye mkutano kule ufipa.
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Hivi kwanini LUMUMBA kuanzia mwenyekiti hadi nyie vistuli kimombo kinawapiga chenga sana? [emoji3]
 
Hamtoacha kuweweseka ninyi mapaka shume
Ameanza tena, kuna watu huwa hawabadiliki, kesho utasikia anafwatiliwa na gari au nyumba yake imevamiwa na watu wasiojulikana, huyu jamaa shida na hamu ya kuwaona Wazazi wake kwa maana Duh, ...
 
Nahisi shitaka hili ndiyo linaweza kumtia hatiani kama waendesha mashitaka wakijweka nguvu na kumdai uthibitisho.
Kauli moja hatari sana kwa mtu anayejinadi anakuja kuliunganisha taifa, kuleta umoja wa kitaifa.
Pumbavu kweli weee hapo kosa ni lipi?
 
Makosa yenyewe laini sana kwa Lawyer mbobezi. Sana sana yatasaidia kufichua na vilivyofichwa.
 
Kabla ya kuwa marehemu lazima upitie hatua flani Mabeberu huiita “Denial” hivyo sintashangaa utopolo wako.
Sawa mkuu, kwa hiyo mie naelekea kuwa marehemu au wewe?
Maana hiyo hatua ya "denial" wewe ndio umeionyesha!
 
% 1 ya IQ ya Lissu= sisiem wote kuanzia mwenyekiti mpaka mfagiaji wa Lumumba.

Huyu jamaa Lissu huwa namchukulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana TZ nikitoka mimi, ilikuwa bado kidogo anikaribie
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…