Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Unaukizwa swali
Why unalala wakati mimi nakusimulia story au nakuboa?
Au story anakuambia ubuyu wa mtu ambaye umesahau wakati alikusimulia juzi anaaza kumind as if ni kitu muhimu, na mwisho wa story unaukizwa umeelew mume wangu mbona huuzuniki hahahah, jamani story yote hii unashangaa,
Kusahau Sehemu alipoweka simu yake nankuniambia naomba unipigie natafuta simu ila, ila kukumbuka msg za simu alizoziona kwangu za miaka Kenda huko nyuma+ na majibu nilyojibu kuhusu hizo msg.
 
Tangu urafiki, uchumba hadi kwenye ndoa bado mchango wa mwanamke kwenye mahusiano unabaki kuwa K tu hana kingine
Hahaha kwa usawa wanaoutaka lazima wao nao wachangie mengine zaidi ya hiyo uliotaja hapo juu tu. Kama raha tunapata wote why should I be the only one to keep strengthening the relationship forward tu?
 
Dah!!!!
Mkuu....hayo mambo ni Siri ya kambi.......kikubwa heshima tu.......ukishaoa vaa joho la ujinga ili uishi maisha marefu...... ukijifanya mwanasayansi mapema tunakuzika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu urafiki, uchumba hadi kwenye ndoa bado mchango wa mwanamke kwenye mahusiano unabaki kuwa K tu hana kingine

Na huu ukweli mchungu ambao wanawake wanaupinga.......ngoja niishie hapa nisijeonekana nawavunjia watu heshima bure
Wanasaidia kulea na majukumu mengine ya nyumbani.
Au mnataka muwe mnapewa pesa na nyie?

Mchango wa mwanamke unatokana na wewe umemshape vipi, yeye amekupa cheo kama kichwa cha familia, anasubiri wewe utoe amri yeye afate.
Sasa kama mwanaume ndo unawaza hivyo aisee basi una mzigo mzito sana kama umeoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au naongopa Mzee mwenzangu.......wajuaji wote wapo kwenye vifusi....... wajinga tunadumu......utaumiaje wakati mtu kaamua kugawa kitobo chake
 
Back
Top Bottom