Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,348
Reaction score
3,831
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .

Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
 
Israel anatumia silaha za marekani,halafu ulinzi anategemea kusaidiwa kama ilivyo sasa USA, UK,jordi nk wote wanamsaidia israel ulinzi baada ya kushambulia iran
 
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .

Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Inamaana wewe una akili kuliko hao Iran??
Jinga kabisa hili!!
 
US imemtoa chambo Israel ili kummaliza Iran ,Iran anapiga mahesabu hata hizo kambo zilizomzungua ni za US..
 
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .

Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Israel hana shida Iran sababu kwanza hawapakani mpaka

Ila Iran ndio yenye kuchokoza Israel

Kwa hali ya kawaida sababu hawapakani Israel Iran haikuwa na sababu iwayo yoyote kuwa na ugomvi na Israel
Wairani wangeishi kwa amani na utulivu
 
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .

Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Nilisema humu,Israel anajua kabisa udhaifu wa Iran ndio maana ananshambulia bila woga....
 
Yani nchi karibia 6 zinamchangia Iran alafu wewe unakuja kuongea utumbo gani.kama wanamuamini Israel mbona awamuachi apigane peke yake au wewe ujui ilo. Iran akitaka kurusha makombola UK, USA, FRANCE na Jordan wanakuwa stend by kutungua ila Israel akirusha Iran sawa tu.🤣🤣🤣 sasa hapo kuna vita kweli kati ya Iran na Israel
 
Mataifa kama US na UK wapo sana hapo Mashariki ya Kati.
Wote wanapigana kwa kuwalinda GCC

Hizi sababu za silaha za nuclear hazina mashiko bali ni zile zile walizomtoa Saddam.

Iran hawajaanza leo kumuandama, ni tangu walipomuingiza Iraq kupigana nae

Ila Wazungu hawana rafiki wa kudumu, hata Saddam walimgeuka

Waarabu kama KSA, Q8 na Qatar na UAE hawawezi kuguswa kwa sababu kwa woga wao ndio wanaowapa support Israel ampige Iran

Wameisha kutana sana na Israel hao
Waarabu wa leo ni wanafiki na waoga kisa kulinda matumbo yao.

Israel bila UK na US sio kitu na asingeweza kumpiga Iran ni kama Katumwa tu.
Nyuma wapo wengine kabisa
 
Inamaana wewe una akili kuliko hao Iran??
Jinga kabisa hili!!
However, when it comes to defence spending, Israel outclasses Iran. The Global Firepower Index reveals that Israel’s defence budget is $24 billion, whereas Iran’s is $9.95 billion.

However, Iran’s military establishment, especially the Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC), does not depend merely on the state budget for its funding, according to the Washington-based Foundation for Defense of Democracies (FDD). “The military establishment controls (one-fifth) of the market value of companies listed on the Tehran Stock Exchange and owns thousands of other companies, all of which generate revenue for the armed forces,” the FDD reported. “Additionally, the IRGC controls a significant portion of Iran’s underground economy.”

Iran’s weaponry takes on Israel

While Iran may outdo Israel in terms of sheer manpower strength, Tel Aviv holds the edge in terms of weaponry. For instance, Israel possesses more air power than Tehran. The Global Firepower Index reveals that Israel has a total of 612 aircraft, whereas Iran has 551. The one important aspect to point out is that Israel’s air force comprises the most modern fighter aircraft like F-15s, F-16s, and F-35s. But that is not the case for Iran.
 
Kaa na hizo quantity sisi tunakaa na actual ground performance.
Israel imeanza kushambuliwa muda huu.
 
Back
Top Bottom