Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani

Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani



God Bless Israel
 
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .

Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Iran wana makombora ambayo yanarushwa 300 yanashindwa kuua hata mbwa mmoja tu wa kiyahudi aisee halafu hawa wairani eti ndo kobaaz wa JF huhorojoka kuwa wana akili mingi sana kumbe NI mimaamuma tu
 
Yani nchi karibia 6 zinamchangia Iran alafu wewe unakuja kuongea utumbo gani.kama wanamuamini Israel mbona awamuachi apigane peke yake au wewe ujui ilo. Iran akitaka kurusha makombola UK, USA, FRANCE na Jordan wanakuwa stend by kutungua ila Israel akirusha Iran sawa tu.🤣🤣🤣 sasa hapo kuna vita kweli kati ya Iran na Israel
Rekebisha kauli yako israel harushi makombora. Israeli inadondosha makombora. Irani ndie ane rusha makombora. Haya endelea ndugu Mwandishi.
 
Back
Top Bottom