Leta link za ndege kupigwa.Iran nao wamelipa kisasi Kwa kurusha drones zaidi ya 200 kufanya mashambulizi Israel Kwa habari zinatembea mtandaoni zinasema kuwa baadhi ya ndege hizo zimepigwa kabla ya kufanya mashambulizi
Aaah gaidi katika ubora wakoIran nao wamelipa kisasi Kwa kurusha drones zaidi ya 200 kufanya mashambulizi Israel Kwa habari zinatembea mtandaoni zinasema kuwa baadhi ya ndege hizo zimepigwa kabla ya kufanya mashambulizi
Israel anatumia silaha za marekani,halafu ulinzi anategemea kusaidiwa kama ilivyo sasa USA, UK,jordi nk wote wanamsaidia israel ulinzi baada ya kushambulia iranKama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .
Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Kwani Iran hana marafiki?Israel anatumia silaha za marekani,halafu ulinzi anategemea kusaidiwa kama ilivyo sasa USA, UK,jordi nk wote wanamsaidia israel ulinzi baada ya kushambulia iran
Inamaana wewe una akili kuliko hao Iran??Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .
Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Mwagize Ayatolah atumie silaha za Russia harakaIsrael anatumia silaha za marekani,halafu ulinzi anategemea kusaidiwa kama ilivyo sasa USA, UK,jordi nk wote wanamsaidia israel ulinzi baada ya kushambulia iran
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .
Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Usiwe na hasira bwamdogo, sisi huku ni nchi ya giza tueaache qenye ngivu wapiganeInamaana wewe una akili kuliko hao Iran??
Jinga kabisa hili!!
Israel hana shida Iran sababu kwanza hawapakani mpakaKama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .
Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
Nilisema humu,Israel anajua kabisa udhaifu wa Iran ndio maana ananshambulia bila woga....Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .
Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
However, when it comes to defence spending, Israel outclasses Iran. The Global Firepower Index reveals that Israel’s defence budget is $24 billion, whereas Iran’s is $9.95 billion.Inamaana wewe una akili kuliko hao Iran??
Jinga kabisa hili!!
Kaa na hizo quantity sisi tunakaa na actual ground performance.However, when it comes to defence spending, Israel outclasses Iran. The Global Firepower Index reveals that Israel’s defence budget is $24 billion, whereas Iran’s is $9.95 billion.
However, Iran’s military establishment, especially the Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC), does not depend merely on the state budget for its funding, according to the Washington-based Foundation for Defense of Democracies (FDD). “The military establishment controls (one-fifth) of the market value of companies listed on the Tehran Stock Exchange and owns thousands of other companies, all of which generate revenue for the armed forces,” the FDD reported. “Additionally, the IRGC controls a significant portion of Iran’s underground economy.”
Iran’s weaponry takes on Israel
While Iran may outdo Israel in terms of sheer manpower strength, Tel Aviv holds the edge in terms of weaponry. For instance, Israel possesses more air power than Tehran. The Global Firepower Index reveals that Israel has a total of 612 aircraft, whereas Iran has 551. The one important aspect to point out is that Israel’s air force comprises the most modern fighter aircraft like F-15s, F-16s, and F-35s. But that is not the case for Iran.