Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jifunze kuelewa mkuu...😂😂😂 Mbona inajulikana since last week
Mabwegee fcUongozi wa Klabu ya Simba, unapenda kuwafahamisha kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu katika kuhakikisha mchezo wetu wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana.
Kutokana na hatua hiyo mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
Tunawaomba mashabiki na wapenzi wetu kuwa watulivu katika kipindi hiki.
Aidha, tutatoa taarifa rasmi za mchezo huu na hatma ya mashabiki wetu kuelekea katika mchezo huu muhimu kupitia Mkutano Maalumu na wanahabari kesho tarehe 20 Mei, 2025 saa 05:00 asubuhi katika Ofisi za Klabu ya Simba, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
View attachment 3339257
.......taarifa kuhusu uwanja utakaotumika, itatolewa baada ya mechi ya mkondo wa kwanza. Hivyo endeleeni kununua ticket..... HII TUNABEBA...Jifunze kuelewa mkuu...
Sio kwamba bwege ni wewe usiejua hata kuandika vizuri ...Mabwegee fc
Wamexoeaaaaa. Kutikisaaa BODI na TFF
Wamekutana na mshipiiiii hahaaaaa
Nimeioenda CAF kwenye majibu yao
HATA HIVYO ZNZ n SEHEMU ya jamhuri ya muungano WA TANZANIA kama Wana kiwanja kinastahiki kuchezwa tunawaomba Wana Simba wakajazane UWANJA WA AMAN
Hahaha wakijua TKT tayari mimba
Wanasema wao waliambiwa wakarabati tu viti viwe vinapendeza kwa bendera ya Tanzania na vyoo na kuweka taa vyote hivyo kwa bilioni 30..na sio pitch.Simba wakifungwa lawama zote wapewe serikali ya CCM
Twende zenji mkuu kula Kumah za kizanzibari...shombe shombe za kiarabuSasa sie tuliolipia ticket za platinum itakuwaje na nauli ya zenji sina
Hilitunabeba hatatungerudiana pale MoroccoKlabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama ilivyotarajiwa awali.
==
Uongozi wa Klabu ya Simba, unapenda kuwafahamisha kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu katika kuhakikisha mchezo wetu wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana.
Kutokana na hatua hiyo mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
Tunawaomba mashabiki na wapenzi wetu kuwa watulivu katika kipindi hiki.
Aidha, tutatoa taarifa rasmi za mchezo huu na hatma ya mashabiki wetu kuelekea katika mchezo huu muhimu kupitia Mkutano Maalumu na wanahabari kesho tarehe 20 Mei, 2025 saa 05:00 asubuhi katika Ofisi za Klabu ya Simba, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
View attachment 3339257
Tajiri Gani anatukana hivi...kapuku toka magetoni ukatafute pesa uache kutukana ovyo........taarifa kuhusu uwanja utakaotumika, itatolewa baada ya mechi ya mkondo wa kwanza. Hivyo endeleeni kununua ticket..... HII TUNABEBA...
MAANINAA😂😂😂