Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar
Viongozi walikua wanajua uwanja utakaotumika.maana wao ndio waliouchagua uwanja wa amani na kuitaarifu CAF,baada ya wa mkapa kushuka kiwango.
Zingine zilikua ni siasa kama zilivyo siasa za mpira wetu siku zote.
Simba wamekula pesa za wapumbavu wametulia 😂
 
Waliokata tiketi na boti nauli hawana pole yao
1738430637004.jpg
 
Tukiwaambia hawa wafuasi wa Wapakwa mafuta fc kuwa ni mbumbh na matahira wanavimbimbisha vichwa!! 😂

Juzi nilisema hapa kuwa walichofanya uongozi wa simba ni makusudi na walifanya kwakujua .... Imetumika kama defence mechanism endapo watachokonolewa tena Zanzibar.... Caf walishawaatirifu muda mrefu kuhusu Aman kutumika ndio maana Berkane wakafanya booking ya Hotel.

CAF sio Tff wala bodi ya ligi hawaendeshwi na hisia bali uhalisia...... Haya goma Kizimkazi 😂😂😂
 
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama ilivyotarajiwa awali.



==

Uongozi wa Klabu ya Simba, unapenda kuwafahamisha kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu katika kuhakikisha mchezo wetu wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana.

Kutokana na hatua hiyo mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).

Tunawaomba mashabiki na wapenzi wetu kuwa watulivu katika kipindi hiki.

Aidha, tutatoa taarifa rasmi za mchezo huu na hatma ya mashabiki wetu kuelekea katika mchezo huu muhimu kupitia Mkutano Maalumu na wanahabari kesho tarehe 20 Mei, 2025 saa 05:00 asubuhi katika Ofisi za Klabu ya Simba, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

View attachment 3339257
Makolo yamenywea! Shenzi type walidhani CAF yupo Msomali!

Kwisha habari yenu!
 
Ngoja tusubiri crip za magori alizotuma na malalamiko kwenda FIFA.... Dhizi izi Dhiba ubaya ubwegeee.😂😂
 
Guys nipo nje ya mada,
Hivi ile derby ya marudiano imeishia wapi? wengine tunapenda mpira ila ufuatiliaji sio kivile
 
Ila mimi kuna maswali najiuliza. Shida hapa ni uongozi wa klabu ya simba. Wewe umeambiwa uwanja umefungiwa na CAF kwa ajili ya kutokidhi ubora especially upande wa pitch. Haya unaambiwa na serikali au TFF kuwa now uwanja ushafanyiwa marekebisho na uko teyari kwa ajili ya fainali. Professionally inabidi usubiri go ahead kwa alioufungia ambae ni CAF kukagua na kukupa go ahead kabla haujatangaza kuuza ticket. Sasa hawa viongozi walitangaza mauzo ya ticket from taarifa ya serikali wakati aliefungia sio yeye.
MKuuu hioo walikuwa Wana justify kula zile pesa za tkt na kuwaaaminisha wapuuziwaooo mechi ilikuwa kwa mkapa CAF wamehamisha TUNAOMBA radhii she xi hawa
 
Watazaaaa Mapachaaa YAAANI hahahaaaaaaa

Poleni SANA NASHAURI msisahauu VIFAA VYA kuzaliaaa
 
Kelele nyingi na kuwasikiliza kina Msigwa na Mwana FA utadhani wao ni CAF...

Haya sasa tafuteni haraka hoteli Zenji na pia mtuambie sisi wenye tiketi za 250k mnattusort vipi...
Fanya umetoa sadaka, hurudishiwi hata Mia na ukienda Zanzibar utalipia tena kiingilio 😂
 
Back
Top Bottom