Muuzie mwenye nauli kama ticket haina picha yako.Engonilikuwa mie kupata burudani sio
Lengo lilikuwa nipate burudani huku nabambia warembo wa thimbaaaa
Muuzie mwenye nauli kama ticket haina picha yako.Engonilikuwa mie kupata burudani sio
Naulinya boti sina alafu mie nina alergy na uepo wa baharini na ile harufu ya bahari nashindwa kupumuaTwende zenji mkuu kula Kumah za kizanzibari...shombe shombe za kiarabu
Duh, huu uandishi wa CEO!Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama ilivyotarajiwa awali.
==
Uongozi wa Klabu ya Simba, unapenda kuwafahamisha kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu katika kuhakikisha mchezo wetu wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana.
Kutokana na hatua hiyo mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
Tunawaomba mashabiki na wapenzi wetu kuwa watulivu katika kipindi hiki.
Aidha, tutatoa taarifa rasmi za mchezo huu na hatma ya mashabiki wetu kuelekea katika mchezo huu muhimu kupitia Mkutano Maalumu na wanahabari kesho tarehe 20 Mei, 2025 saa 05:00 asubuhi katika Ofisi za Klabu ya Simba, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
View attachment 3339257
Unaandika upupu tu, chamazi haina sifa, ina nyasi bandia.Awa Viongozi Tangu watambue wanaongoza mbumbumbu basi Wana jichukulia ujiko kwa kuwa buruza wanavyo taka.
Viongozi wa Simba ndio walio itaarifu CAF kuwa uwanja wao namba mbili ni New Aman Complex kwakua hawakutaka kuchezea Chamazi ni nuksi richa ya Chamazi kukidhi vigezo na kupata Certificate ya ubora ya CAF.
Baada ya mechi na Alma sry na uwanja kuonekana haufai Mangungu alisema uwanja watakao tumia ni Amani kwakua kanuni za CAF inazitaka Timu kuwa na viwanja viwili vya nyumbani endapo kimoja kitakua na tatizo kingine kitatumika.
Mnge endelea kuwa dhalirisha CAF wange weka hadharani barua ya Simba inayo elekeza kuwa uwanja wao namba mbili ki matumizi ni New Aman Complex na ata Mechi ya Stellenbosch ilipigwa pale.
Wewe ndo hujui ata ukifundishwa inaonekana kuelewa kwako ni kipengeleJifunze kuelewa mkuu...
Basi una majini ambayo sio ya baharini..Naulinya boti sina alafu mie nina alergy na uepo wa baharini na ile harufu ya bahari nashindwa kupumua
Kila mtu huwa anaringia nyumbani kwakeWalivyofungwa Morocco lawama tumpe Nani?
Mechi na nusu fainali c mlisema Zanzibar ni nyumbani, sasa kelele za nnKila mtu huwa anaringia nyumbani kwake
Wana kishamba cha kupandia mpunga huku mashahidi elfu sitini wakiwemo 🔥Nchi ya watu zaidi ya mil 60 haina uwanja wa mpira hata mmoja🤣🤣🤣
Inasikitisha sana.Hapo wamejiona wazalendoo.Wanasema wao waliambiwa wakarabati tu viti viwe vinapendeza kwa bendera ya Tanzania na vyoo na kuweka taa vyote hivyo kwa bilioni 30..na sio pitch.
Heshima yako raisi ,umeamkaje raisi? Vipi leo umewaza kubadili nini hapa nchini ?Siku tukiacha siasa kwenye mpira na tukaipa kipaumbele professionalism basi tutafika mbali sana
Taarifa wanayo tokea wiki iliyopita wamefanya manipulation za kutosha wamefeli kwa aibu wameitoa leo ajabu sana