MUNGU FUNDI
MUNGU ANAJIBU MAOMBI
MUNGU FUNDI WA MAFUNDI

ASIKWAMBIE MTU XILE POROJO ZA KILA SIKU SASA ZIMEHITIMISHWA RASMI BAADA YA WASHIRIKI WA FINAL SIMBA SC KUTOA TAARIFA SASA FINAL ZNZ KWA AMAN

BAADA YA YOTE HAYO SASA MZIGOOO UKO AMANI 🏟️

SHUHULI MLIOLIPA TKT ZENU KWENDA NA KURUDI ZNZ

70000 DARAJA LA KAWAIDA
70000 CHUMBA
KULA UKIWEZA FUNGA SIO MBAYA MPAKA URUDI DAR
MIN

LAZIMA UWE NA SI CHINI YA LAKI

140000

NIKUPE MCHONGO TU KWENYE 70000 YA KULALA WE KAKOMAE
PALE FORODHANI UPIGWE BARIDI BAHARINI ASBH GEUKA

USHAURI UKIKATA TKT HAKIKISHA UNA TKT YA KURUDIA
POLENI SANA SANA WALE MLIOKATA TKT MKASHINDWA KWENDA NAWAKARIBISHA PALE ZINGZOZUNGH TABATA

POLENI SANA
 
HATUCHEZIIIII NGOOO
 

Attachments

  • 1747676924248.jpg
    318.1 KB · Views: 25
Kolo nilijua ofisi za klabu yao ipo Msimbazi.
Msiite tena derby ya Kariakoo, iiteni derby ya KARIAKOO na OYSTERBAY
 
Kuna topolo hapa eti linatushangaa kwa nini hatukuenda CAS
 
Awa Viongozi Tangu watambue wanaongoza mbumbumbu basi Wana jichukulia ujiko kwa kuwa buruza wanavyo taka.
Viongozi wa Simba ndio walio itaarifu CAF kuwa uwanja wao namba mbili ni New Aman Complex kwakua hawakutaka kuchezea Chamazi ni nuksi richa ya Chamazi kukidhi vigezo na kupata Certificate ya ubora ya CAF.
Baada ya mechi na Alma sry na uwanja kuonekana haufai Mangungu alisema uwanja watakao tumia ni Amani kwakua kanuni za CAF inazitaka Timu kuwa na viwanja viwili vya nyumbani endapo kimoja kitakua na tatizo kingine kitatumika.

Mnge endelea kuwa dhalirisha CAF wange weka hadharani barua ya Simba inayo elekeza kuwa uwanja wao namba mbili ki matumizi ni New Aman Complex na ata Mechi ya Stellenbosch ilipigwa pale.
 
Kelele nyingi na kuwasikiliza kina Msigwa na Mwana FA utadhani wao ni CAF...

Haya sasa tafuteni haraka hoteli Zenji na pia mtuambie sisi wenye tiketi za 250k mnatusort vipi...
 
Hali hii inapelekea:

Kupoteza morali ya mashabiki, ambao walikuwa tayari wajiandae kwenda Mkapa.

Kuleta presha kwa timu, kwa sababu wanahisi hawalindwi ipasavyo.

Kuyumbisha mipango ya kiufundi, kwani benchi la ufundi linapaswa kufanya mabadiliko ya haraka kuhusu mazingira ya uwanja na hali ya hewa.


Simba ni klabu kubwa—ina mashabiki wengi, historia, na matarajio makubwa. Maamuzi kama haya yanachafua taswira ya klabu na soka la Tanzania kwa ujumla.
 
Safi sana waliwasumbua yanga kwenye derby Leo hii MUNGU kajibu maombi yetu asante sana
 
Ila mimi kuna maswali najiuliza. Shida hapa ni uongozi wa klabu ya simba. Wewe umeambiwa uwanja umefungiwa na CAF kwa ajili ya kutokidhi ubora especially upande wa pitch. Haya unaambiwa na serikali au TFF kuwa now uwanja ushafanyiwa marekebisho na uko teyari kwa ajili ya fainali. Professionally inabidi usubiri go ahead kwa alioufungia ambae ni CAF kukagua na kukupa go ahead kabla haujatangaza kuuza ticket. Sasa hawa viongozi walitangaza mauzo ya ticket from taarifa ya serikali wakati aliefungia sio yeye.
 
Ety taarifa rasmi 😂
Simba na Yanga wanawaona mashabiki wao ni wapumbavu ndo mana wanaendeshwa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…