Viongozi walikua wanajua uwanja utakaotumika.maana wao ndio waliouchagua uwanja wa amani na kuitaarifu CAF,baada ya wa mkapa kushuka kiwango.
Zingine zilikua ni siasa kama zilivyo siasa za mpira wetu siku zote.
Simba wamekula pesa za wapumbavu wametulia ๐Ÿ˜‚
 
Tukiwaambia hawa wafuasi wa Wapakwa mafuta fc kuwa ni mbumbh na matahira wanavimbimbisha vichwa!! ๐Ÿ˜‚

Juzi nilisema hapa kuwa walichofanya uongozi wa simba ni makusudi na walifanya kwakujua .... Imetumika kama defence mechanism endapo watachokonolewa tena Zanzibar.... Caf walishawaatirifu muda mrefu kuhusu Aman kutumika ndio maana Berkane wakafanya booking ya Hotel.

CAF sio Tff wala bodi ya ligi hawaendeshwi na hisia bali uhalisia...... Haya goma Kizimkazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Makolo yamenywea! Shenzi type walidhani CAF yupo Msomali!

Kwisha habari yenu!
 
Ngoja tusubiri crip za magori alizotuma na malalamiko kwenda FIFA.... Dhizi izi Dhiba ubaya ubwegeee.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Guys nipo nje ya mada,
Hivi ile derby ya marudiano imeishia wapi? wengine tunapenda mpira ila ufuatiliaji sio kivile
 
MKuuu hioo walikuwa Wana justify kula zile pesa za tkt na kuwaaaminisha wapuuziwaooo mechi ilikuwa kwa mkapa CAF wamehamisha TUNAOMBA radhii she xi hawa
 
Watazaaaa Mapachaaa YAAANI hahahaaaaaaa

Poleni SANA NASHAURI msisahauu VIFAA VYA kuzaliaaa
 
Kelele nyingi na kuwasikiliza kina Msigwa na Mwana FA utadhani wao ni CAF...

Haya sasa tafuteni haraka hoteli Zenji na pia mtuambie sisi wenye tiketi za 250k mnattusort vipi...
Fanya umetoa sadaka, hurudishiwi hata Mia na ukienda Zanzibar utalipia tena kiingilio ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ