Duh, huu uandishi wa CEO!
 
Unaandika upupu tu, chamazi haina sifa, ina nyasi bandia.
 
Naona mitopolo inafuatilia kwa ukaribu sana mechi kubwa ya CAF.
 
Janjajanja na wizi hatimaye CAF wametuumbua.
Angalia hata pale Mkwakwani,Uwanja ambao timu ilihama ili ukarabatiwe lkn juzi ilionekana kuwa ni shamba la mpungu kama ilivyo kule bwawa la kufugia kambale kwa MKAPA.
 
Imeisha hiyo. Wanasimba twendeni kukapambanie kombe kokote kule. Simba haitegemei kwa Mkapa tu!
 
Wanasema wao waliambiwa wakarabati tu viti viwe vinapendeza kwa bendera ya Tanzania na vyoo na kuweka taa vyote hivyo kwa bilioni 30..na sio pitch.
Inasikitisha sana.Hapo wamejiona wazalendoo.
 
Siku tukiacha siasa kwenye mpira na tukaipa kipaumbele professionalism basi tutafika mbali sana

Taarifa wanayo tokea wiki iliyopita wamefanya manipulation za kutosha wamefeli kwa aibu wameitoa leo ajabu sana
Heshima yako raisi ,umeamkaje raisi? Vipi leo umewaza kubadili nini hapa nchini ?
Nipo kukusapoti kwa maneno na vitendo nyuma ya harakati zako tukufu mheshimiwa raisi
 
KUNA mambo unaweza kuyafanya ukaonaa rahisi sanaa ukasahau LAANA ya Mungu IPO na INAENDELEA kufanya KAZI

KWA kifupi tu
NILITAMANI TFF na uongozi WA Simba kuita press cx
Nakuomba radhi MASHABIKI wote WA Simba kuanzia watakaoenda ZNZ na wasioenda ZNZ

Kipekeee kabisaa muombe radhi kwa wale waliotamani kuona mechi kwa MKAPA wakajiminya kuwapa watoto mkate wakaangalie mechi taifa na Leo hii kutokana na uwezo hawatoweza KWENDA ZNZ na kurudi pamoja na malazi

Hawa n watu WA kuthamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…