Msitutishe bana...mnajiamini nini sasa...kwani ss tunaoongea ndo wachezaji? Kama wao wamebweteka huko watakandwa wao...
Hatuwatishi ila mkae mkijua safari hii kipigo kitakatitfu kitahusika kama mnaweza kuomba mechi isogezwe mbele fanyeni hivyo
 
Hatuwatishi ila mkae mkijua safari hii kipigo kitakatitfu kitahusika kama mnaweza kuomba mechi isogezwe mbele fanyeni hivyo
Waambie wapuuzi na waoga wasiojua mchezo wa mpira mkuu..ila sio sisi..labda mlete majini ila mkicheza watu timu kama timu huo ubashiri wako haujakaa kimichezo...hizo ni fantasy zako
 
Hawa watu wa ajabu sana hawakawii kuja hapa kusema FIFA inawaonea wivu mafanikio yao
 
Waambie wapuuzi na waoga wasiojua mchezo wa mpira mkuu..ila sio sisi..labda mlete majini ila mkicheza watu timu kama timu huo ubashiri wako haujakaa kimichezo...hizo ni fantasy zako
Tangu lini majini yakacheza mpira? tarehe 20 kipigo ni inevitable
 
😝😝😝
 
Hivi kwanini mchezaji hajatajwa jina hii inaonyesha huyo mchezaji amecheza mechi nyingi za mashindano wakitaja jina timu zitadai point 3 zao Kwa kila mechi aliyocheza na huu ndio Mpira wetu kivyetu vyetu tunaogopana
 
Kwahy Fifa hawajaona barua ya Yanga kupinga goli la mamelod wao wameamua tuu kuwapa kitu kizito Yanga badala ya kuwaonea huruma πŸ˜‚
 
Goli halali lililokataliwa na dunia yote kuona bado linawauma sana Caf na Fifa sasa wanatafuta pa kupoza machungu!! Mara wamchague yule refa , mara waifungie Yanga usajili ili isipate Aziz Ki mwingine ila ukweli bado umebaki umesimama vile vile!! Upepo tu unavuma na utapita, daima mbele nyuma mwiko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…