Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Msitutishe bana...mnajiamini nini sasa...kwani ss tunaoongea ndo wachezaji? Kama wao wamebweteka huko watakandwa wao...
Hatuwatishi ila mkae mkijua safari hii kipigo kitakatitfu kitahusika kama mnaweza kuomba mechi isogezwe mbele fanyeni hivyo
 
Hatuwatishi ila mkae mkijua safari hii kipigo kitakatitfu kitahusika kama mnaweza kuomba mechi isogezwe mbele fanyeni hivyo
Waambie wapuuzi na waoga wasiojua mchezo wa mpira mkuu..ila sio sisi..labda mlete majini ila mkicheza watu timu kama timu huo ubashiri wako haujakaa kimichezo...hizo ni fantasy zako
 
Hawa watu wa ajabu sana hawakawii kuja hapa kusema FIFA inawaonea wivu mafanikio yao
 
Waambie wapuuzi na waoga wasiojua mchezo wa mpira mkuu..ila sio sisi..labda mlete majini ila mkicheza watu timu kama timu huo ubashiri wako haujakaa kimichezo...hizo ni fantasy zako
Tangu lini majini yakacheza mpira? tarehe 20 kipigo ni inevitable
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.View attachment 2961481View attachment 2961482
😝😝😝
 
Hivi kwanini mchezaji hajatajwa jina hii inaonyesha huyo mchezaji amecheza mechi nyingi za mashindano wakitaja jina timu zitadai point 3 zao Kwa kila mechi aliyocheza na huu ndio Mpira wetu kivyetu vyetu tunaogopana
 
Kwahy Fifa hawajaona barua ya Yanga kupinga goli la mamelod wao wameamua tuu kuwapa kitu kizito Yanga badala ya kuwaonea huruma 😂
 
Wewe utakuwa unatoka SENGE-Rema
Imepenya hiyo [emoji382] makalioni mwako vumilia tu maumivu Makolokolo Mwandamizi [emoji38]
JamiiForums-31645776.jpg
 
Goli halali lililokataliwa na dunia yote kuona bado linawauma sana Caf na Fifa sasa wanatafuta pa kupoza machungu!! Mara wamchague yule refa , mara waifungie Yanga usajili ili isipate Aziz Ki mwingine ila ukweli bado umebaki umesimama vile vile!! Upepo tu unavuma na utapita, daima mbele nyuma mwiko!!
 
Back
Top Bottom