binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
😀😀😀 ila wewe! Aliyefanikiwa kumvua vichupi na kumvika hijabu Sanch ni Alhaji. Msichana akafanya risk assesment akaona why not. Chezea pesa wewe!Usiniambie....jamaa alikuwa nakata mauno kwenye mzigo wote ule...kwa kweli amefaidi. Hayo ndio matumizi mazuri ya pesa. Gegeda warembo.
Tusitaniane ata mie sijapata opportunity tuu lakini hii biashara dili kinoma faida 500% unaiachaje jameni wakati maisha ya kilimo mvua hamna. Ukija kwenye maofisi watu ni konection tuu. Bora ujilipue tuu huko angalau miaka mitatu ya maisha yako nawe useme yulikojelea pazuri🤣🤣🤣🤣
Hawa jamaa wanatumia kichaka cha michezo kufanya biashara haramu. Ni aibu kubwa sana kwa mkurugenzi wa Cambiasso Sports Academy na huyo kocha wa magolikipa wa simba.Lakini kwa Simba viongozi wao kufanya hivi siyo ajabu, Marko Masanja mpaka Leo yupo jela China huko
Huu ni msiba wa nyumbani kabisa 😀😀😀Umenibadilishia avator.
Kidumu chama, wadumu ma don, wadumu punda wote. Nipo nafatilia kuona kama the don Kambiaso hakuwa na kadi ya chama.
Daa nilitaka nishangae anaachaje kuwa mmoja wao.Huu ni msiba wa nyumbani kabisa 😀😀😀
Yes nimebadili avator mheshimiwa.
Ni vituko mkuuDaaah Halafu Mmiliki wa Cambiaso Academy ni Alhaj ambaye alienda Kuhiji Macca Eti [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1316]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aisee kumbe raha tupu jamaa amepata. Ndio hayo nasemaga wanawake hawapendi wao wanaangalia maisha yapo wapi😀😀😀 ila wewe! Aliyefanikiwa kumvua vichupi na kumvika hijabu Sanch ni Alhaji. Msichana akafanya risk assesment akaona why not. Chezea pesa wewe!
Ndio maana ukienda kuhiji ukiwa na umri ndogo wazee wanakuita na kukuambia " utayaweza?"Kwani ukienda kuhiji macca ukirudi unakuwa malaika?
Mfumo 😢 compromisedJuzi nilipohudhuria Live band hapo DSM na kuona sijui Mapendeshee yanatajwa Tena kwenye nyimbo zile nilianza kuhisi hii biashara ya Madawa Haina muda mrefu inaanza.
Hongereni Mamlaka kuweza kuwakamata hao Wahusika ila muhimu wasije kuhonga pesa na kuachiliwa.
UNGA FC SPORTS CLUB🤣🤣🤣
Kuna siku Mexime alikua anamuelezea boss wake huyo na kumfanya kama Mungu mtu vile anavojitoa kusaidia vijana kisoka na miundombinu ya michezo nchini kumbe ni baba wa MapundaDaaah Halafu Mmiliki wa Cambiaso Academy ni Alhaj ambaye alienda Kuhiji Macca Eti [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1316]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ujue ntakublock! 😂Daa nilitaka nishangae anaachaje kuwa mmoja wao.
Naona umeweka OG kabisa
Baba hapo tofauti ni tarehe tu siku zile zile ndio maana huwezi kukuta hawa matajiri uchachu bongo wanadisclose financials zao na wakati huo huo ni wadhamini wakubwa wa michezo na jamiiMahama kutoka Punda fc hamia wananchi wazalendo [emoji125][emoji125]
PundraaaaaMtu yeyote bila kujali taasisi anayotoka anaweza tenda kosa lolote la jinai.. Tusizihusishe taasisi Kwa makosa binafsi ya wafanyakazi wake.
Ndio vile tena, tushapata jina jipya mjini....UNGA FC, hebu twende Entertaiment kule tukaendelee na storyNatamani isiwe habari yenye ukweli maana.
Mbona mjini hapatakalika