Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Usiniambie....jamaa alikuwa nakata mauno kwenye mzigo wote ule...kwa kweli amefaidi. Hayo ndio matumizi mazuri ya pesa. Gegeda warembo.

Tusitaniane ata mie sijapata opportunity tuu lakini hii biashara dili kinoma faida 500% unaiachaje jameni wakati maisha ya kilimo mvua hamna. Ukija kwenye maofisi watu ni konection tuu. Bora ujilipue tuu huko angalau miaka mitatu ya maisha yako nawe useme yulikojelea pazuri🤣🤣🤣🤣
😀😀😀 ila wewe! Aliyefanikiwa kumvua vichupi na kumvika hijabu Sanch ni Alhaji. Msichana akafanya risk assesment akaona why not. Chezea pesa wewe!
 
Huu ni ujasiri wa Hali ya juu kwa mamlaka zilizohusika na uchunguzi na ukamataji wa mapapa haya
. Tanzania wazalendo bado wapo wengi. Wajitahidi tuu ushahidi uwe watertight ili conviction ipatikane ijapokuwa ni ngumu Sana kwa kesi za aina hii.

Watanzania tunaoishi kinafiki Sana na dini zetu. Machoni mwa watu tunajionyesha ni wema Sana, watoa misaada kwenye jamii, wajenga nyumba za ibada ,hata mtu akiisema vibaya dini ambayo upo kwa jina tuu ila matendo upo tofautibkabisa unaweza kumtoa roho.

Najua ni jukumu la mahakama pekee kuthibitisha tuhuma hizi na haturuhusiwi kumhikumu hata kwa maneno lakini kitendo Cha mtu mwenye daraja la alhaji ambaye ameshasafiri kwenda kumpigia sheitwani na mawe kutuhumiwa tu au kutajwa linafikirisha. Tuwaombee vijana wetu wanaofanywa mazezete na watu hawa wasiojalinkesho yao
 
Juzi nilipohudhuria Live band hapo DSM na kuona sijui Mapendeshee yanatajwa Tena kwenye nyimbo zile nilianza kuhisi hii biashara ya Madawa Haina muda mrefu inaanza.

Hongereni Mamlaka kuweza kuwakamata hao Wahusika ila muhimu wasije kuhonga pesa na kuachiliwa.
Mfumo 😢 compromised
 
NAFIKIRI SASA NDIO WAKATI MUAFAKA WA KWENDA KUMPA POLE YULE DADA SANCHOKA, BAADA YA BWANA WAKE HUYO ALIEMBADILISHA MPAKA AKASLIMU NA KUFUTA PICHA ZAKE ZA AJABU AJABU KULE INSTAGRAM KUKAMATWA.
KUUA HII BIASHARA BADO KUNA KAZI SANA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ASIEPENDA KULA MAISHA MAZURI YA KIFAHARI NA MTOTO MZURI KAMA SANCHOKA.
 
Daaah Halafu Mmiliki wa Cambiaso Academy ni Alhaj ambaye alienda Kuhiji Macca Eti [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1316]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna siku Mexime alikua anamuelezea boss wake huyo na kumfanya kama Mungu mtu vile anavojitoa kusaidia vijana kisoka na miundombinu ya michezo nchini kumbe ni baba wa Mapunda

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Mahama kutoka Punda fc hamia wananchi wazalendo [emoji125][emoji125]
Baba hapo tofauti ni tarehe tu siku zile zile ndio maana huwezi kukuta hawa matajiri uchachu bongo wanadisclose financials zao na wakati huo huo ni wadhamini wakubwa wa michezo na jamii

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Natamani isiwe habari yenye ukweli maana.

Mbona mjini hapatakalika
Ndio vile tena, tushapata jina jipya mjini....UNGA FC, hebu twende Entertaiment kule tukaendelee na story
 
Back
Top Bottom