Kweli, ila hela uliyoihangaikia inauma kutoa hovyo.
Najua ana magari 1000 ya transit ambapo kwa mwezi hakosi faida ya 10bil.

Galco inafanya vizuri maana inahandle cargo kwenye ICD zao
 
Kweli, ila hela uliyoihangaikia inauma kutoa hovyo.
Najua ana magari 1000 ya transit ambapo kwa mwezi hakosi faida ya 10bil.

Galco inafanya vizuri maana inahandle cargo kwenye ICD zao
Naomba nikuulize hivi hawa jamaa wa gsm walianzia wapi kupata utajiri?
They are soo genius both of them..
Salaah na kaka yake.
 
Naomba nikuulize hivi hawa jamaa wa gsm walianzia wapi kupata utajiri?
They are soo genius both of them..
Salaah na kaka yake.
Walikuwa wa kawaida KKOO...
Wakatumia opportunity bandarini.

Ulikuwa ukiagiza mzigo, wewe unawapa BL, unaambiwa lipia Tsh kadhaa, mzigo wako tutakuletea popote ila hautakuwa ma risiti...
Canter zao zile za kichina zilikuwa zinafanya kazi faster unapata mzigo wako.
Wamelipa kiasi gani haikuhusu.

Hapo ndo walipatia hela, baada ya uchaguzi wakaua home shoping.

Walipata hela kupitia bandari, maana wao ndo walitoa mizigo mingi ya kkoo, huku wapinzani wao mf MOKHA wakibaki mikono mitupu
 
duh.....hivi wakina MANGI.... hii biashara mbona hawaisogelei? maana ina pesa tamu hatari.........ila utamu ukikolea sana huwa SHUBIRI..... ...tujipe pole wana SIMBA.....
 
Wenyewe walikua kama agency mwanzo? Ya clear an foward?
Hapo sijui sana hizo language...
Na kama ni hivyo mbona watu kibao wana hizo kampuni
 
Wenyewe walikua kama agency mwanzo? Ya clear an foward?
Hapo sijui sana hizo language...
Na kama ni hivyo mbona watu kibao wana hizo kampuni
Kampuni zilikuwepo ila HSC alikuwa anatoa mzigo kwa bei ndogo na mzigo ulikuwa haumalizi siku nyingi Bandarini,
Hakuna cha damorage wala nini....
Wao wakikuambia ni 16mil unapata mzigo bila tatizo. Wengine wanakwambia 15mil, afu wanaleta habari za 1mil za longroom, TBS, damorage,

Hata leo wanafanya CF mzigo wako unaukuta Galco Changombe
 
@mrangi neno lako hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo jawana mnyororo wa utajiri kutoka kwa mababu?
Basi wana akili kama mchwa.
Hizo 1000lori sio mkopo world bank kweli maana sio kitoto
 
Na wao walikuwa na custom ndogo ndani ya bandari .....na sahv imerudi tena,Acha wajipigie kazi

Ova
Lakini mbona naona kama charges za mzigo ni sawa na makampuni mengine 450$ kwa CBM mpaka 500$ tena juzi kati ndo wametoa offer za skukuu.
Je kama wanahizo magazijuto kwanini wasitoe ma offer ili watu wote watoe kwao mizigo?
Au unazungumzia full cargo..contena ?
 
hawa watukumiwa wanapswa Wapigwe risasi, ni wauaji hawa.
 
Hiyo akaunti inakuwa ya benki hapa Tanzania?
 
Ukiangalia kwa haraka haraka utagundua hii ni biashara pendwa kwa wafuasi wa dini ya mnyaaazi........kwa nini?
 
Kwa hiyo jawana mnyororo wa utajiri kutoka kwa mababu?
Basi wana akili kama mchwa.
Hizo 1000lori sio mkopo world bank kweli maana sio kitoto
Hapo ni bilioni 240-300 ambazo wanazo, au wamekopeshwa na banks
 
Wewe waongelea vitu 2 tofauti.
Kuna GSM na SOL
 
Siyo kwamba walichanua kipindi cha msoga gang.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…