Kodi kwa 'watoto' wa miaka 18?

Kodi kwa 'watoto' wa miaka 18?

Naona unahamisha Mada taratibu...

ulianza kulalamika watoto wa Miaka 18 wanatozwa kodi ukaeleweshwa kwamba wanaotozwa ni wale tu wanaoingiza kipato

Sasa unalalamika serikali itapata hasara...

Unapaswa kujua kwamba hakuna kazi au mchakato wowote unaofanyika bure bila gharama ila faida zake huko mbeleni ni kubwa ukilinganisha na gharama zinazotumika kuandaa huo mfumo kwa sasa

Na ndiyo maana imetengwa budget kwa ajili ya hilo
1.Sihamishi mada yoyote nilikuwa sijaelewa kuhusu kulipa kodi au ni kitambulisho tu cha TIN

2.Sasa kwa nini kama naona ni ufujaji wa pesa nisiseme? kisa tu nilikosea kuelewa kuwa ni kitambulisho cha TIN

3.Taja faida ya huu mchakato?

4. Watu wakae na vitambulisho ambavyo hawavitumii kisa tuu, huko 'mbeleni' watavitumia...hio hela ya kulipia vitambulisho vya muda huu ambavyo vitatumika baadae si ingetumika kwenye mambo mengine?

5. Kutenga budget sio tatizo, hata wanaofuja hela wanapanga budget pia.
 
Kwa nini wasisubirie mpaka hapo hao vijana watakapokuwa kwenye ajira rasmi, soma posti ya Mkuu Numbisa kama ni utambulisho wangeweza kuweka kila kitu kwenye vitambulisho vya NIDA,...kuwapa watu vitambulisho visivyokuwa na kazi again ni kufuja hela za serikali, ambazo ni za walipa kodi halali.
Kumpatia mtu wa miaka 18 utambulisho wa mlipa kodi sio kufuja fedha. Hiyo itasaidia hata kwenye data analysis ya future tax payer generation na ni njia halali ya kuwafahamu vibaka na wazururaji maana utakuwa upo mjini, si mwanafunzi na tin yako haina activities yoyote inayoonyesha unaingiza kipato. Tuache kupingapinga.

CHANGAMOTO HAPA NI UTARATIBU WA MALIPO KUPITIA TIN KWA KILA RAIA, ULIPASWA KUTOA MAWAZO KATIKA HILO.
 
Vibaka na wazurulaji si wana vitambulisho vya NIDA?! kwa nini hizo gharama za kutengeneza vitambulisho vipya wasingeweka mfumo wa kuwa mtu akiweka data zako, information zote zinakuja?...hii ingekua cost-effective zaidi...

Eti future tax payer, lol

Ngoja nikuache mkuu, baki na mtazamo wako, nibaki na wangu.
 
Mnhh naona huelewi ngoja nikuache mkuu, utamwitaje mtoto wa miaka 18 ambaye bado tegemezi yuko kwa wazazi ni mtu mzima?!
Duh. Hapo ndio unapochanganya mambo. Mtoto wa miaka 40 sembuse 18 kukaa na kutegemea wazazi ni uzembe wetu ktk malezi na hakumfanyi mwanao huyo asiwe mtu mzima kiumri na kisheria. Maana yake ni kuwa kukaa au kutegemea wazazi hakusimamishi umri wa mtoto. Kama na hii huelewi kalaga baho.
 
Vibaka na wazurulaji si wana vitambulisho vya NIDA?! kwa nini hizo gharama za kutengeneza vitambulisho vipya wasingeweka mfumo wa kuwa mtu akiweka data zako, information zote zinakuja?...hii ingekua cost-effective zaidi...

Eti future tax payer, lol

Ngoja nikuache mkuu, baki na mtazamo wako, nibaki na wangu.
Sawa. Tusiache kulipa kodi.
 
Mnhhh sijui unapinga nini na unakubali nini, mtoto wa miaka 18 ni mtoto sawa na huyo asiye chini ya miaka 18 period!
Miaka 18 ni Mtu Mzima kisheria na anaweza kufanya lolote lililo ndani ya Sheria na Taratibu,

Hawapo sawa miaka 14 na miaka 18.
 
Miaka 18 ni Mtu Mzima kisheria na anaweza kufanya lolote lililo ndani ya Sheria na Taratibu,

Hawapo sawa miaka 14 na miaka 18.
Kama yuko kwa wazazi wake, ana tofauti gani na hao wadogo zake, regardless jamuhuri inamuchukuliaje?!
 
Tatizo ni kwamba, hizo tozo, kodi, vat, ushuru, levy na upumbavu wote unaoufahamu utaishia kwa mikono michache yenye nguvu na madaraka ya hali ya juu, watatumbua vilivyo hadi kuweka zingine huko mbweni na masaki na oyterbay na ...dadeq zao!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole saana ila kuwa na TIN sio kutozwa kodi ni utambulisho tu wa mlipa kodi mie ninayo TIN huu mwaka ni watatu sasa na sijawah kulipa kodi yoyote ile na hutolewa bure tu.
subiri wakati utakapofika utaitolea majibu hiyo TIN si sasa.
Ni ajabu unaunga mkono hoja mtoto wa miaka 18 aliye kidato cha nne apate utambulisho wa mlipa kodi.
Wanaounga mkono hoja hii mtazamo wao ni pamoja na wa mwigulu wa miaka 40 iliyopita wakati ambapo hakukuwa shule za kutosha, ukimaliza darasa la saba unasubiri kuoa au kuolewa. By the time unafika 18 tayari una watoto.

Leo hii kidato cha nne ni mandatory ambapo watoto wanamaliza wakiwa 18-19 na wengi wanaendelea kimasomo kisha unataka watambuliwe kama walipa kodi??

akili za ajabu
 
18 hakupaswa kuwa tegemezi.
Kama 18 hakupaswa kuwa twgemezi, niambie ni kazi gani huyu 18yr old anaweza kufanya na kuhitegemea.

Kwa mfumo wa elimu yetu, huyu kama hayupo o level basi ni a level, ni tegemezi100%, na ndio maana hata nhif waliona waongeze kidogo umri wa mtu tegemezi hadi 21yrs coz 18yrs kiuhalisia bado ni mtu tegemezi kabisa licha ya kutambulika kama mtu mzima.

Mimi ningeshauri hata kama hiyo taxpayers id watatoa kuanzia 18yrs old, lakini kodi wanayotaka kumkamua mtu iwe kuanzia 25yrs, hapo walau mtu anachakarika mtaani jamani.
 
Wakiweka hilo kwamba kujulikane kiasi basi iwe mfano lengo ni kukusanya trillion 1 kwa kodi,kama zikikusanywa trilioni 3 basi 2 zinarudi kwa wananchi na kugawiwa asilimia kutegemeana na walivyochangia. Kuliko kusema wamevuka lengo na wanabakiwa nazo zote hapo wananchi tutaumia sana. Maana hakuna kodi inauma kwa sasa kama PAYE yaan dah ni kubwa kuliko makato yote kwenye salary slip na salary inavyopanda ndio na yenyewe inapanda zaidi na hairudi hata hamsini
We unafikiri serikali inapataje pesa!?..warudishe kwa wananchi,kivipi yaani...hivi huwa mnafikiri!?
 
subiri wakati utakapofika utaitolea majibu hiyo TIN si sasa.
Ni ajabu unaunga mkono hoja mtoto wa miaka 18 aliye kidato cha nne apate utambulisho wa mlipa kodi.
Wanaounga mkono hoja hii mtazamo wao ni pamoja na wa mwigulu wa miaka 40 iliyopita wakati ambapo hakukuwa shule za kutosha, ukimaliza darasa la saba unasubiri kuoa au kuolewa. By the time unafika 18 tayari una watoto.

Leo hii kidato cha nne ni mandatory ambapo watoto wanamaliza wakiwa 18-19 na wengi wanaendelea kimasomo kisha unataka watambuliwe kama walipa kodi??

akili za ajabu
Siyo kila mwenye miaka 18 yupo kidato Cha nne!!..na wanesema mwenye kipato,mna shida gani vichwani!!?
 
Serikali ndiyo mlezi mkuu, kuna
hekima kubwa sana kwenye hili jambo. Kwanza, litawafanya
watoto wetu kujifunza their civic
duty, kulipa kodi. Pili,
litaharakisha watoto wetu
kujitegemea, watoto wa kisasa
hawajigusi na utakuta mtu ana
miaka 40 bado yuko kwa
wazazi kama mtegemezi. Haya
ni matumizi mabaya ya
rasilirasilimali watu kwani kila
raia ana wajibu wa kutoa
mchango wake katika ujenzi wa
taifa kwa namna yake popote
alipo. Tatu, sheria zetu
zinatambua miaka 18 kuwa ni
age of majority hivyo basi, siyo
kulipa kodi tu, wanaweza
kufungwa jela au kupelekwa
vitani. Mwisho, kama nchi
lazima iwe na misingi ya
uwajibikaji, kila mtu awajibike.
Ila viongozi wao ndio mishahara walipwe tena mikubwa, wapewe nyumba za kukaa, matibabu na huduma zengine bure.

Hiyo inawajenga nini?
 
Huelewi, bila malipo sio kwa mtu wa kawaida, ila malipo kwa serikali kuwalipa hao wanaotengeneza na kivigawa, huu ni ufujaji wa pesa kwa serikali.
Ina saidia pia serikali kujua wafanya biashara hambao hawatoi risiti na kukwepa kodi pale mnunuzi anapo fanya malipo kwa TIN
 
Back
Top Bottom