Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
- Thread starter
- #81
1.Sihamishi mada yoyote nilikuwa sijaelewa kuhusu kulipa kodi au ni kitambulisho tu cha TINNaona unahamisha Mada taratibu...
ulianza kulalamika watoto wa Miaka 18 wanatozwa kodi ukaeleweshwa kwamba wanaotozwa ni wale tu wanaoingiza kipato
Sasa unalalamika serikali itapata hasara...
Unapaswa kujua kwamba hakuna kazi au mchakato wowote unaofanyika bure bila gharama ila faida zake huko mbeleni ni kubwa ukilinganisha na gharama zinazotumika kuandaa huo mfumo kwa sasa
Na ndiyo maana imetengwa budget kwa ajili ya hilo
2.Sasa kwa nini kama naona ni ufujaji wa pesa nisiseme? kisa tu nilikosea kuelewa kuwa ni kitambulisho cha TIN
3.Taja faida ya huu mchakato?
4. Watu wakae na vitambulisho ambavyo hawavitumii kisa tuu, huko 'mbeleni' watavitumia...hio hela ya kulipia vitambulisho vya muda huu ambavyo vitatumika baadae si ingetumika kwenye mambo mengine?
5. Kutenga budget sio tatizo, hata wanaofuja hela wanapanga budget pia.