Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Ila simba, chui na black mamba ni very aggressive sana Yani ukikutana nao no bargaining ni kufa tu ila hili komodo ukilishtukia unasepa tu au unaweza kulikimbiza na fimbo na likaogopa
 
Ndo huyohuyo
 
Umeelewa au umekurupuka tu kujib???
 
Tatizo huelewi sentensi na unajibujibu, acha stori za vijiwen unakurupuka kuja kuanzisha uzi uku
Ko we ndo mtu pekee ulioona hilo dunian apa sio, afu umeelewa mangoose jimemuwekaje apo au unakurupuka tu
 
Hakuna mnyama anaewinda binadam kwa akili zake timamu, kama hujui hili una akili za mtoto wa darasa la5, na mwili wa H baba
 
Ila simba, chui na black mamba ni very aggressive sana Yani ukikutana nao no bargaining ni kufa tu ila hili komodo ukilishtukia unasepa tu au unaweza kulikimbiza na fimbo na likaogopa
sahihi kabisaa
 
Anapatikana wapi jamani nianze kuepuka hio njia?😂😂
Maporinu,vichakani,halafu yakikukimbia hayo hayapigi kelele ni kimya kimya na yanambio na mkia wake una nguvu za ajabu!.
Niliwahi kushuhudia akiharibu ekari 4 za karanga kachimbua chimbua kazikatakata ni hatari wakuu
 
Dah uongo uliopitiliza komodo hana sumu. Ila mate yake yamejaa bacteria na hii imesababishwa na uchafu wa kinywa chake. So akikuuma anakuachia bacteria ambao watakushambulia na itachukua muda kufa na si kwa dkk 3 au 5 ni zaidi ya masaa kadhaa. Acha uongo
 
Ila simba, chui na black mamba ni very aggressive sana Yani ukikutana nao no bargaining ni kufa tu ila hili komodo ukilishtukia unasepa tu au unaweza kulikimbiza na fimbo na likaogopa

Kwa binadamu ni mwoga hana ujanja hata kwa wanyama linavizia vizia kwanza halina mbio kiviilee maana likishaona mnyama linanyatia alafu likinkaribia linawahi king'ata mguuni alafu linalalia tumbo hapo hapo huku linamtizama yuke mnyama anavyoanza kuishiwa nguvu na anakoenda kudondoka
 
Hakuna mnyama anaewinda "BINADAMU" kwa akili zake timamu, kama hujui hili una akili za mtoto wa darasa la5, na mwili wa H baba
Wale wanaoliwa na mamba pindi wanapoenda mtoni kuoga, kufua au kuchota maji wanakuwaga mashetani au miti? Wale wanaouwawa na chui au simba wakiwa wamelala majumbani mwao usiku ni mashetan au miti? Wale wanaoenda labda shambani na ghafla anavamiwa na chatu na kuuwawa huwa ni miti au mashetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…