MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Dawa ni kuwa nalo home lipambane na vibaka usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo huyohuyoMkuu nashukuru kwa mchango wako, japo nasikitika haujui vizuri ni mnyama gani tunaemzungumzia hapa. Huyo lizard inaemzungumzia hapa hana uhusiano wowote na hili dubwasha. Ni sawa sawa uone paka afu uje uwambie watu umeona chui eti kwa sababu tu paka na chui wanafanana.
Kifupi hili dubwasha linaitwa Komodo dragon, venom yake haina kinga kwa mnyama yoyote yule hapa duniani.
Hapa nikiwa na maana kwamba huyo mangoose wako akikutana na hili dubwasha ataliwa bila hata kutumia gharama ya sumu. Kwanza ni mkubwa mara 3 au 4 ya huyo mangoose wako, pili ana mdomo wa kuweza kummeza mtoto wa mbuzi wa miezi 2 mzima mzima, na kama ni mnyama mkubwa itachukua dakika 3 tu au 4 awe ashamaliza hadi mkia. Tatu ana sumu ambayo hakuna mnyama anaweza kuiepuka kwa namna yoyote ile, na mwisho ana nguvu mara 5 ya huyo mangoose wako wakijichanga na black mamba wake wote wataliwa kwa pamoja. Don't mess with this devil brother, halina msalie mtume kwa kitu chochote kinachoitwa kiumbe.
Umeelewa au umekurupuka tu kujib???Mkuu nashukuru kwa mchango wako, japo nasikitika haujui vizuri ni mnyama gani tunaemzungumzia hapa. Huyo lizard inaemzungumzia hapa hana uhusiano wowote na hili dubwasha. Ni sawa sawa uone paka afu uje uwambie watu umeona chui eti kwa sababu tu paka na chui wanafanana.
Kifupi hili dubwasha linaitwa Komodo dragon, venom yake haina kinga kwa mnyama yoyote yule hapa duniani.
Hapa nikiwa na maana kwamba huyo mangoose wako akikutana na hili dubwasha ataliwa bila hata kutumia gharama ya sumu. Kwanza ni mkubwa mara 3 au 4 ya huyo mangoose wako, pili ana mdomo wa kuweza kummeza mtoto wa mbuzi wa miezi 2 mzima mzima, na kama ni mnyama mkubwa itachukua dakika 3 tu au 4 awe ashamaliza hadi mkia. Tatu ana sumu ambayo hakuna mnyama anaweza kuiepuka kwa namna yoyote ile, na mwisho ana nguvu mara 5 ya huyo mangoose wako wakijichanga na black mamba wake wote wataliwa kwa pamoja. Don't mess with this devil brother, halina msalie mtume kwa kitu chochote kinachoitwa kiumbe.
Tatizo huelewi sentensi na unajibujibu, acha stori za vijiwen unakurupuka kuja kuanzisha uzi ukuMkuu nashukuru kwa mchango wako, japo nasikitika haujui vizuri ni mnyama gani tunaemzungumzia hapa. Huyo lizard inaemzungumzia hapa hana uhusiano wowote na hili dubwasha. Ni sawa sawa uone paka afu uje uwambie watu umeona chui eti kwa sababu tu paka na chui wanafanana.
Kifupi hili dubwasha linaitwa Komodo dragon, venom yake haina kinga kwa mnyama yoyote yule hapa duniani.
Hapa nikiwa na maana kwamba huyo mangoose wako akikutana na hili dubwasha ataliwa bila hata kutumia gharama ya sumu. Kwanza ni mkubwa mara 3 au 4 ya huyo mangoose wako, pili ana mdomo wa kuweza kummeza mtoto wa mbuzi wa miezi 2 mzima mzima, na kama ni mnyama mkubwa itachukua dakika 3 tu au 4 awe ashamaliza hadi mkia. Tatu ana sumu ambayo hakuna mnyama anaweza kuiepuka kwa namna yoyote ile, na mwisho ana nguvu mara 5 ya huyo mangoose wako wakijichanga na black mamba wake wote wataliwa kwa pamoja. Don't mess with this devil brother, halina msalie mtume kwa kitu chochote kinachoitwa kiumbe.
Hakuna mnyama anaewinda binadam kwa akili zake timamu, kama hujui hili una akili za mtoto wa darasa la5, na mwili wa H babaZaman binadam wanaoishi katika mapori yaliokaribu na hao jamaa walikuwa wanaishi vizuri tu kwa raha mustarehe. Sasa haya madubwasha baada ya kumaliza wanyama waliokuwa maeneo hayo. Wameanza kuwinda na binadam. I mean binadam yeyote ukiingia 18 zake umeliwa. Kwahiyo watu wanaanza kwenda kuishi mbali na maeneo au hifadhi za wanyama hao.
rekebisha hapo👆.. kwanza lina sumu aina ya venom
sahihi kabisaaIla simba, chui na black mamba ni very aggressive sana Yani ukikutana nao no bargaining ni kufa tu ila hili komodo ukilishtukia unasepa tu au unaweza kulikimbiza na fimbo na likaogopa
Maporinu,vichakani,halafu yakikukimbia hayo hayapigi kelele ni kimya kimya na yanambio na mkia wake una nguvu za ajabu!.Anapatikana wapi jamani nianze kuepuka hio njia?😂😂
[emoji23][emoji23]Niliwahi mkuta kichakani nikamkimbiza huku mkononi nimeshika ndala moja alitoka baru hadi akaingia shimoni
Duh ! Huyo jamaa kalibambia kabisa.
Afrika magharibi nafikiri hawapo hawa. Maybe unazungumzia ile mikenge inayopambana kwa kutumia mkia.
Ila simba, chui na black mamba ni very aggressive sana Yani ukikutana nao no bargaining ni kufa tu ila hili komodo ukilishtukia unasepa tu au unaweza kulikimbiza na fimbo na likaogopa
Mwanadamu u'hatari wako mpaka uwe na vitendea kazi..Kiumbe hatari zaidi kuliko wote uliowataja na mwenye sumu kali inayoweza kuua kwa haraka ni Binadamu! Huyu ni kiumbe hatari! Sana.
Wale wanaoliwa na mamba pindi wanapoenda mtoni kuoga, kufua au kuchota maji wanakuwaga mashetani au miti? Wale wanaouwawa na chui au simba wakiwa wamelala majumbani mwao usiku ni mashetan au miti? Wale wanaoenda labda shambani na ghafla anavamiwa na chatu na kuuwawa huwa ni miti au mashetani?Hakuna mnyama anaewinda "BINADAMU" kwa akili zake timamu, kama hujui hili una akili za mtoto wa darasa la5, na mwili wa H baba