Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Mimi naishi Zanzibar (japo kwa sasa nipo Pakistan 🇵🇰 ) na nathibitisha bila ya shaka yoyote kwamba haya unayosema ni ushuzi mtupu. Hakuna mauwaji Zanzibar baada ya siku za uchaguzi.
Siasa za Zanzibar ni za msimu, kipindi cha uchaguzi na kampeni basi.
Kipindi chengine ni cha kupambana na maisha.
Ukisikia mauaji yametokea Zanzibar basi ujue ni siku za uchanguzi bas. Na mwaka huu tumeenda kwa salama bila mauaji yoyote.
Zanzibar hatuna utekaji.
Hata mashekhe wetu Zanzibar hawakudhulumiwa, Bara ndio waliwachukua na kuwadhulumu huko kwenu.
 
Lakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?

Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
Alikuwa na mzanzibar kama msaidizi wake, so wote walikuwa timu moja... Utani tuu huu

Kila jambo lenye mwanzo lina mwendelezo wake, hata huyu akitoka atakayekuja nae atakuja katika hali hii hii labda aamue kuipunguza au kuimaliza kabisa
 
Kila kitu magufuli kwa hio mkuu unahahalisha yanayoendelea nchini kisa magufuli alitenda? Kwani wakati anateka na kuua akina mange hawakumsema na kumsakama kama samia wako?
Soma mtiririko wa maelezo utaelewa sihalalishi naondoa dhana potofu kwamba haya kaanzisha Samia kwa Uzanzibari.

Hata Magufuli hakuna kipya akichofanya mambo yote yanarudi nyuma kwa Nyerere.

Tofauti Nyerere alijua kuhalalisha mambo kisheria na kifalsafa.

Kwa nini unaona nikisema hili jambo hajaanzisha Samia lilikuwapo kabla, unaona namsafisha Samia?

Kwa ni i watu wengi wana tatizo la kusoma kwa ufahamu hivi?

Yani mtu anasema Samia kaanzisha wizi, tabia za Kizanzibari.

Halafu mimi nakuja kusema hilo si kweli, wizi ulikuwapo tangu enzi za Magufuli na Magifuki si Mzanzibari.

Sasa hapo unasomaje juwa mimi namsafisha Samia kuwa si mwizi?

Umeshindwaje kuona kuwa point yangu si kwamba Samia si mwizi, point yangu si kumsafisha Samia kwenye wizi, point yangu ni kusema wizi si tabia ya Kizanzibari ulikuwapo tangu enzi za Magufuli na Magufuli si Mzanzibari?

Logical non sequitur fallacy.
 
Alikuwa na mzanzibar kama msaidizi wake, so wote walikuwa timu moja... Utani tuu huu

Kila jambo lenye mwanzo lina mwendelezo wake, hata huyu akitoka atakayekuja nae atakuja katika hali hii hii labda aamue kuipunguza au kuimaliza kabisa
Wewe hufai hata kujibiwa.

Utani tu huu.
 
Magufuki anyway mkuu nia yako ni kuhamisha mada kutoka samia kwenda magufuli. Hili jambo lingefanikiwa sana enzi zile alipofariki kipindi kile kila tope lilioibuliwa watu walisema la JPM. Ila kwa sasa mada ni bi chura na mauaji ya hadharani
 
Mi sijali hata akiwaua nusu ya wazanzibar! Ila kwanini anaua watanganyika?
 
unamkumbuka mwamba GADAFI? Magufuli alikuwa na sera kama za GADAFI!
 
Magufuki anyway mkuu nia yako ni kuhamisha mada kutoka samia kwenda magufuli. Hili jambo lingefanikiwa sana enzi zile alipofariki kipindi kile kila tope lilioibuliwa watu walisema la JPM. Ila kwa sasa mada ni bi chura na mauaji ya hadharani
Sijahamisha mada kutoka kwa Samia kwenda kwa Magufuli.

Nakuonesha hizi habari za kumuangalia mtu mmoja aliye juu, kuleta habari za Wazanzibari, ni ujinga tu.

Hao Wazanzibari wenyewe unawaita Wazanzibafi wewe mtu wa nje, wenyewe ndani wanajuana Wapemba, Wangazija, Wa Shirazi, wa Tumbatu, Wajindo, etc.

ACT Wazalendo Zanzibar wote wanalia.

Tuna tatizo la kimfumo lililozidi tatizo la watu. Tuna tatizo la utamaduni.

Tuna tatizo la CCM.

Ndiyo maana alivyokuwa rais Magufuli tulilalamika kutekwa na kupotezwa, Magufuli kajifia zake mbali, sasa hivi kuna Samia, na yeye tunamlalamikia.

Tatizo ni mifumo, tatizo ni katiba, tatizo ni utamaduni wetu.

Tukimuangalia kiongozi aliye juu ni kama tip of the iceberg tu, ni kama 10% ya tatizo.

90% ni mifumo, ni sheria, ni katiba, ni CCM, ni utamaduni wetu wote.

Sasa kwa watu wajinga ni rahisi sana kuwa stuck kumuangalia mtu mmoja aliye juu badala ya kuuangalia mfumo mzima.

Na hapo ndipo mtakaposhangaa Samia anaweza kuondokewa mkapewa Nchimbi mkarudi kulalamika vilevile.

Kuna watu walikuwa wanalalamikia urais wa Kikwete kwamba hakutakuja kuwa na rais mbovu zaidi ya Kikwete.

Nikawaambia hamjaona kitu watakuja wengine wabaya kumzidi huyu.

Tumempata Magufuli na Samia sasa hivi tunasema bora hata Kikwete alikuwa mvumilivu kwenye demokrasia.

Acheni huu ujinga wa kumuangalia mtu mmoja wakati mna matatizo ya kimfumo na kiutamaduni.
 
Huu ushenzi ulianzishwa na magufuli ,kuanzia issue ya Ben saanane ,Azory Gwanda kwenye ile scandal ya mauaji ya kibiti ,rufiji na mkuranga ,kupigwa risasi lissu ,watu kutekwa ,kubambikiziwa kesi has a wapinzani nk, kuharibu uchaguzi ,Magufuli ndie mshenzi aliyeanzisha mambo ya kutumia dola kuuua upinzani kwanza kupiga marufuku shughuli za kisiasa nk ,ukiangalia ile uchafuzi wa 2020 ambao hauukufaa hata kuitwa uchaguzi , Huyu Malaya naye kaendeleza ushenzi ule ule , kipindi kile kuna watu walikuwa wakisherekea kwa ule ushenzi magufuli alikuwa akiwatendea wapinzani na wakosoaji wengine Ila payback ya uovu wameionja pia zamu hii ya huyu Malaya wa kizimkazi MTU Kama polepole alikuwa akitetea ushenzi na udhalimu ule nk ......Watu walibeza mabadiliko ya katiba sasa hivi wanakaangwa kisawasawa na Kuona umuhimu wa kuwa na systemic reform na katiba mp ya kwenye uongozi wa nchi .Yawezekana hili ni somo gumu ambalo Mungu ameamua tujifunze kwa njia ngumu ya kupitia maumivu makali Kama hivi ili Kuona umuhimu wa kujenga misingi ya usawa ,haki na demokrasia nchini sisi Kama wananchi
 
Unajua kwanini hawamsemi Mwinyi senior badala yake wanamsema samuya. Kwa sababu mwinyi ni m bara mwenzetu alizamia zenji hivyo hakuwa na tabia za kule. Ila bi chura wa kule kule ndo maana kajaza ndugu zake bungeni hadi kwenye baraza la mawaziri.

Kumtetea samuya ni kazi kubwa sana kipindi hiki. Hasafishiki hata kwa Jiki
 
Bado hujaelewa kuwa simtetei Samia nakueleza kuwa hapa una tatizo kubwa kuliko Samia.

Huelewi wapi?

Ina maana leo ukiambiwa na CCM wanamtoa Samia wanakuwekea Emmanuel Nchimbi utakubali na kufurahi kwa kuwa Samia kaondolewa?
 
Exactly ,na mimi naona Mungu kaamua uovu wa utawala utawale zaidi ili Kika mtu aonje maumivu ya utawala wa uovu na ajue umuhimu wa kuwa na katiba imara na mifumo Thabiti ya haki na uongozi
 
Exactly ,na mimi naona Mungu kaamua uovu wa utawala utawale zaidi ili Kika mtu aonje maumivu ya utawala wa uovu na ajue umuhimu wa kuwa na katiba imara na mifumo Thabiti ya haki

Dhulma kwa MTU yoyote ni dhulma kwa watu wote , alichofanya magufuli ndio ushenzi ule ule anaofanya samia , hata hao wapinzani Kama Ben saanane waliouliwa na Magufuli walikuwa n haki ya kuishi ...Tukubali tu kwamva ccm imeoza kitambo na haifai tena ,ni kwamba tu harufu ya uvundo imekuwa kubwa ndani ya nyumba ndio milio imekuwa mingi ........Ubinafsi wa mtanzania kwamba wanaofaa kufanyiwa unyama ni wapinzani tu ............Hili ni tatizo kubwa la jinsi fikra zetu zilivyo ......................Ila naamini tutajifunza na kuelewa kwa nijia ngumu ya maumivu Kama hivi
 
Bado hujaelewa kuwa simtetei Samia nakueleza kuwa hapa una tatizo kubwa kuliko Samia.

Huelewi wapi?

Ina maana leo ukiambiwa na CCM wanamtoa Samia wanakuwekea Emmanuel Nchimbi utakubali na kufurahi kwa kuwa Samia kaondolewa?

Kiranga: Mkuu wengi sana wadhani tatizo ni Samia, mfumo tulio nao hata ukimuondoa Samia utazaa matatizo yale yale. Na hata asingelikuwa Samia kama Rais, kwa mfumo huu, hali iliyojitokeza katika uchaguzi huu ingejitokeza kwa candidate mwingine, ili CCM ibaki madarakani lazima itumie dola kujilinda, na CCM yenyewe ni ngumu mno kujaribu kuubadili mfumo ambao unaibeba!
 
Umeshazeeka, punguza mitandao.

Unapenda sana kurundika maandishi yasiyo na maana yoyote.
 
Acheni huu UPUMBAVU.

Nioneshe sehwmu yoyote kwenye sheria zetu inayoruhusu👇

  • UTEKAJI
  • Kuweka tu mtu mahabusu bila kosa
  • Kuua watu kikatili
  • Kupiga watu mahakamani
  • Kupora uchaguzi
  • Ufisadi

Nioneshe??
 
Bora hata mdude angalau anajulikana kidogo,kuna yule dogo aliyechomaga picha kule mbeya, alikuwa na hatari gani hadi apotezwe?
Unaenda kumshughulikia mtu kama yule wa kazi gani?
 
Exactly.

Tatizo watu wengi wanaangalia haya mambo emotionally, wakiangalia emotionally wanakuwa distracted kumtafuta mchawi mmoja anayesababisha haya yote.

Wanashindwa kuangalia mambo logically and comprehensively na kuona systemic problems.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…