Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #81
Hii ndo tafsiri halisi ya kuwa na and 100 orhers kwenye nyuzi za mwamba
Uzi gani?
Hii ndo tafsiri halisi ya kuwa na and 100 orhers kwenye nyuzi za mwamba
Hauna bint wa miaka 18 mpaka 21 nije kujitwalia mke hapo Mkuu?
Maana pamenyooka sana... 💯
Kuna thehebu haliamini hivyo, linaamini muunganiko wa ndoa ni pale mnapokubaliana kuishi pamoja na kuanzisha familia, yaani hata mkianza kunyanduana porini, vichakani hiyo tayari ni ndoa na Mungu anaitambua
Wewe ni mgonjwa kwenye akili,ndoa zipo za kidini,za kimila na za Serikali zote zinatambuliwa na sheria za nchi
Ukienda kwenye mifumo rasmi kwa kesi za ndoa, watakuuliza ikiwa kweli huyo ni mkeo/au mumeo… Na watataka u-confirm kwa kusema mambo mawili.
1.Mmetambulishana? Hasa hasa mwanaume amejitambilisha kwa wazazi wa binti?
2.Kama mahari imetolewa….
La mwisho ndio utaulizwa kama mnacheti cha ndoa….
Hivyo maana yake ni kuwa vigezo namba 1&2 ndivyo vinavyotambulisha ndoa kabla hatujaadapt utamaduni wa weupe.
Naunga mkono hoja za mleta uzi.
Zaman nlikuwa na mimi nina hoja hiyo ila nilipomsikiliza mwanasaikolojia Dr. Peterson nikaachana nayo.
Sibadilishwagi mm wala sijahisi nataka kubadilishwa wewe unajuaaje mtu anapohisi, unajua hisia za mtu kiaje?Sipo hapa kubadilisha watu Mkuu.
Kwa nini unahisi ninataka au unatakiwa kubadilishwa na mimi?
I
Kwa mtazamo huo, basi jua hata hizo punda na farasi ni mifumo iliyowekwa.Duniani imeweka mifumo ambayo binadamu anatakiwa kuifuata ili tuishi kwa kuheshimiana..
Hata kutumia gari, ndege, pikipiki ni utumwa. Unatakiwa utumie punda na Farasi safari za Dar - Mwanza
Namanisha huyo jamaa anayekuponda hapo juu yupo kwenye and 100 others it means ni msindikizaji hajui anachobishiaUzi gani?
We jamaa una tabia za kike yaani kwenye uzi wangu unajaza umbeya ambao hata hauhusiani na mimiSibadilishwagi mm wala sijahisi nataka kubadilishwa wewe unajuaaje mtu anapohisi, unajua hisia za mtu kiaje?
Ndoa kwa misingi ya kiislamSio kila utaratibu ni wa kufuata,just imagine dini hizi sio zetu toka awali ni ustaarabu wa wazungu na waarabu but inatokea binti unampenda anakuambia mpaka mfunge ndoa ya kanisa.
Mama,Baba na babu zetu hawakufunga hizo ndoa za kanisa but ndio zao zilikuwa nzuri tu-siku hizi sasa.
niki kupinga kwenye hili, hakikisha una nipiga lockdownHii tunamaliza wenyewe tu wachungaji wenyewe watu wa hovyo tu!
Nakutoa busha kabisa!niki kupinga kwenye hili, hakikisha una nipiga lockdown
Mhh bela huu sasa ni ukoloni, haya mapenzi au vita ya duniaNakutoa busha kabisa!
Ukweli ni kwamba mkiambiwa ukweli mnaona watu wanawachukia, ukweli mchunguWe jamaa una tabia za kike yaani kwenye uzi wangu unajaza umbeya ambao hata hauhusiani na mimi
Vita penzini ndo yenyewe sasa,yaani Ile tumegombana halafu tukapatana tukatoka tukaenda sehemu tulivu wawili tu can you imagine🤗🤗🤗🤗🤗Mhh bela huu sasa ni ukoloni, haya mapenzi au vita ya dunia
I can imagine kwenda mahakamani kuomba ulinzi na talaka tu, maana why uni dunde 😅Vita penzini ndo yenyewe sasa,yaani Ile tumegombana halafu tukapatana tukatoka tukaenda sehemu tulivu wawili tu can you imagine🤗🤗🤗🤗🤗