Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Sidhani kama unaelewa vizuri maana halisi ya 'Deep State'. Je, unaelewa uhusiano uliopo kati ya Artificial intelligence, computer software engineering, cyber security,IT na dhana ya Deep State?
 
Iv Deep state ni TISS? au TISS ni Deep State ?
 
Umefunga ukurasa mkuu. Kila mtu aende akajifunze siasa za kikomunist zinaendaje, twende China πŸ‡¨πŸ‡³, Russia πŸ‡·πŸ‡Ί, North Korea nk
Je, ni sahihi kusema kwamba siasa za kikomunisti za China πŸ‡¨πŸ‡³, Russia πŸ‡·πŸ‡Ί, na Korea Kaskazini zinavumilia au kustahimili ufisadi, wizi wa mali ya umma, na rushwa kama ilivyo katika baadhi ya mifumo ya kisiasa ya Tanzania.
 
....ka.isa
Kama tumeanza kuchapisha fedha zetu wenyewe bila kufuatiliwa na mtu ama shirika babe Duniani basi hata deni lingekuwa trillion 500 ningechekelea sana. Kwa sababu, COVID-19 ilipoipiga Marekani, US ili chapisha fedha na kuwagawia wananchi wake ..!
 
Serikali ndani ya Serikali (Deep State), Dola (State/Governmen) & TISS (Usalama wa Taifa)
 
Serikali ndani ya Serikali (Deep State), Dola (State/Governmen) & TISS (Usalama wa Taifa)
"Kitambaa cheusi ndani ya Bunge la marekani"!!!kurefusha muda wa vikao ndani ya jengo hilo hapo jana!?Ina trigger kwa kiasi gani funga na fungua semi hapo mwanzo wa hii paragraph!!?
 
Rostam,Azam group, asas et al huwawezi watoa kwenye Equation as far as deepstate is concerned.
 
Umempa ukweli mchungu ambao hataki kuusikia
 
Mkuu, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye "espionage" ya hali ya juu barani Afrika.

Isipokuwa kama aelezavyo DeepPond mazee wametulizwa na watunzwa na kutuzwa vema.

Lakini "Espionage" ipo "intact" palepale.
Anaibeza tz kwasababu analala vizur, Ila ukizungumzia ukanda huu WA EAC, Tz Iko mbali Sana, Hilo Hadi majirani wanalijua
 
😁😁😁😁

Hapa ni sawa na kusema kwamba wana tufanyia divide and rule , Yaani wao kazi Yao ni kupiga Ngoma tu ili sisi tuicheze
Sahii kabisa, walipotupa uhuru.

Walihakikisha tunapata uhuru WA bendera TU, Ila Siri Yao kubwa ya Kuendeleza exploitation imefichwa kwenye democracy.

Democracy IPO ili kuwamonitor viongozi walioko madarakani, kuhakikisha wanatekekeza maslahi yao

Ukikengeuka, unawekewa vikwazo uku rivals wako kisiasa wanawezeshwa ili wakung'oe madarakani,na unapigwa chini.
 
Tatizo Umereply Kwa jazba Sana mkuu,
 
Exactly uko sahihi kabisa ,, Wana kuambia umekiuka mkataba huu na huu, Umeshindwa kulinda haki za raia na haki za kibinaadamu so haufai kutawala , Wana kupiga chini faster ,

Usipo kubali kuwapa Rasilimali wanazo zitaka Wana kuletea Rebels nchini kwako nchi inakuwa haikaliki Kwa amani na kama hauto kuwa tayari kuwa sikiliza hao rebels watakutoa madarakani Kisha Wana wapa power wale ambao watakuwa tayari kuishi chini ya matakwa yao
 
Ni anonymous kwakua hawana shida na wewe siku wakiwa na SHIDA na wewe utajua hujui
Mna

MNatongoza tongoza wadada hovyo huko DM ndio maana your cover is being blown up very easily. Otherwise being anonymous is possible. Just stick to rules of the g
 
Haiwezekani hao jamaa ume mention wako serious sana na mali za umma tofauti kabisa na hapa kwetu

Huku kwetu watuwanajali matumbo yao, familia zao na small circles zinazowazunguka
 

Hivi lini kulikuwa na uchaguzi tz? Unafikiri Huo unaokuja unaitwa uchaguzi? Fikiria tena
 
Kwa Kiswahili chetu cha lahafudhi ya kinyiramba huwa tunashangaaga na kusema Kumbiii !!!!??? πŸ˜³πŸ™„
Eniwei maisha yanaendelea 😳 !!🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…