Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Oh umeelewa niliposema kuwa kuna mchanganyiko wa kuonesha Kuna demokrasia huku kukiwa na ukomunist? Na hasa ukizingatia ishu ya kutofungamana na upande wowote?

Una jua restrictions zilizopo China kwa raia? Je na TZ Kuna utofauti? Pamoja na kwamba ni kama Zina unafuu.
 
Uzalendo kwanza

Zidumu fikra za mwenyekiti

Mapambio kwa Rais na viongozi wake kwa kila kitu

Kikundi cha watu wachache wanaamua baadae wengine (wengi) wanapitisha

Mambo ni mengi ya ufanano na siasa za kikomunist
Tunaweza kuikosoa sana ccm,

Ila tusisahau CCM ya kule china (CCP) ndio imeiletea maendeleo makubwa Sana yote tunayoyaona kule china.

UCommunist sio mbaya Kama ukisimamiwa vizur, Kwa malengo na uzalendo
 
Hujui maana ya ukomunisti na CCM ya sasa siyo wakomunisti. Sina muda na kiazi kama wewe unayebisha bila kujua unazungumzia nini.
Kiazi mama yako mzazi aliyezaa mbogo maji macho_mdiliko

Lugha za matusi hazina nafasi na sitazivumilia hata kidogo.
 
Kwa ufahamu wangu; hiyo Idara siku zote io chini ya ofisi ya Rais.
Hayo mengine ya juu nakubaliana na ufafanuzi wako.
Ile act yao ya 1996 ilimpa Minister Nguvu ya Kuoperate ndani ya Idara ila Hii act aliyo assent President Samia 2023 imeweka Clear kabisa kuwa Minister atakuwa responsible na issue za Budgetary na Mambo mengine ya Kisera tu.
 
Deep state ya nyoko!! Kungekuwa na deep state bongo kuna mambo yasingeendelea.
Sisi hatuna msaada wa deep state, maana hao ndio wale wale wa CCM damu, wanafaidika na keki ya taifa.
Jeshi letu limetususa, wameamua kufumbia macho, wamechagua upande wao.
Wanasiasa wa upinzani sio wa kuaminika ni wajanja KUWAHI, refer mbowe,zitto kabwe, salum mwalim, kafulila, mkumbo, mtatiro etc
Wale kina lissu walioamua kujitoa, tunawaona punguwani, hatuwapi back up.
Sisi wenyewe ndio kabisaaa, ni maiti zitembeazo.

Sioni CCM ikitoka madarakani hivi karibuni, labda vipite vizazi viwili mpaka vi3
 
Wasiasa wanacheza na Akili zetu wala sio watu wa kuwa na imani nao
 
Sizumgumzii mbeleko za jiwe,najzungumzia kura za wajumbe, Mwesigwa alipigwa vibaya sana, hao kina Byabato ushasema mfumo uliwabeba,so kwenye free and fair election so chochote
Hiyo free and fair election?
Unazungumzia ya nchi gani mkuu?

Uwe unatoa mifano kabisa ili tusipotoshane, zitaje nchi zenye free and fair election, Kisha turejee definition halisi ya neno "democracy"

Nikutoe TU tongo-tongo,

Hakunaga kitu kitu kinaitwa free&fair election katika hii dunia tuliyomo.
 
Kiazi mama yako mzazi aliyezaa mbogo maji macho_mdiliko

Lugha za matusi hazina nafasi na sitazivumilia hata kidogo.
These are the problems of trying to explain something you don’t understand. When you’re defeated, you resort to insults and meaningless talk. You’re saying that today’s Tanzania has a communist system? It would actually be better if we were communists—maybe then the country would be in a better state than it is now
 
Yaani huu ni Uchaguzi Mkuu wa 13 Tanzania, lakini watu wana porojo kibao. Nchi hii ni imara na itaendelea kuwa imara. Tunakunywa Konyagi tunaendelea kunywa raha mustarehe hadi Serikali Mpya ya CCM itakapoingia madarakani!
Wewe kweli mtoto wa shule,
Uimara gani unaozungumzia we mtoto?
 
Umeandika kweli tupu, nina ithibati ya baadhi ya uliyoandika.
 
Kwani Bilionea wambura na bilionea Cdf ngunda wana semaje
 
Sijapotoka mkuu,

Wee ndio unaepotoka Kwa kuamini kua serikali yetu tayar ilishaachana na mfumo wa UCommunist.

Ni sawa na uoe single mother,
Kafu Kila wikend akuage anaenda kumtembelea mzazi mwenzie.

Afu nawe uamini kua anaendaga tu kujadili maendeleo ya Mtoto wao, Wanajiheshimu, hawavuki mipaka
 
🤔🤣🤣
 
Ni wachumia tumbo, wanafanya kila kitu mradi wapige pesa tu.
Siwaamini wanasiasa kiukweli.
Hii game ili iwe fair na Tuepushe walafi wengi ni lazima tu create mifumo thabiti ya Kufanya check and balance ya mambo, Leo kuna watu wako beyond constitution na Hakuna wakuwazuia wanaitwa washika hatamu
 
Mimi ninakuelewa vizuri sana mkuu '200' usitie shaka hata kidogo juu ya uelewa wangu.
Ngoja nirudie tena.
CCM kama ilivyo sasa haina mfanano wowote na vyama vinavyo fuata siasa za Kikomunisti, ukiachia mbali kuendelea wao kujitambulisha hivyo, na kwa kutobadili muundo wao ulivyo toka awali, ambao sasa ndio unaowalinda kama chama.

Kuweo "mchanganyiko wa kuonyesha kuna demokrasia...", hiyo siyo hoja hata kidogo. CCM kama chama ingeweza ikabaki na ukomunisti wake, bila ya kuathiri chochote katika demokrasia ya nchi, kama Tanzania; kwa maana ya kuwepo na vyama vya upinzani na waTanzania wakawa na uhuru na HAKI ya kuchagua chama chochote wanachotaka kiwaongoze. Hata huko kwa mabepari, vipo vyama vinavyojitambua wao kuwa vyama vya kikomunisti.

Unapoingiza maswala ya "...ishu ya kutofungamana na upande wowote" unaongeza tu tope katika mjadala ambao ni 'complex'. Sasa hivi shughulika tu na hilo la "ukomunisti" wa CCM.

Unapozungumzia maswala ya "restrictions zilizopo China kwa raia", sijui ..., hicho ndicho kigezo chako pekee cha UKOMUNISTI? Hapa unachoonyesha wazi wazi ni kwamba wewe ni mteja mkubwa wa propaganda za vyombo vya upande mwingine; tena unakuwa mteja asiyehoji chochote, unakuwa ni mbugiaji tu bila uchembuzi wowote wa unachokibugia. Sisi wengine ngazi hiyo tulisha ivuka siku nyingi.

Tanzania si lazima iwe na hiyo mitindo ambayo bado imeganda kwenye fikra zenu za nyakati za VITA BARIDI!
 
Sahii kabisa, shukran Kwa correction 👍
 
Hii game ili iwe fair na Tuepushe walafi wengi ni lazima tu create mifumo thabiti ya Kufanya check and balance ya mambo, Leo kuna watu wako beyond constitution na Hakuna wakuwazuia wanaitwa washika hatamu
Game haiwezi kuwa fair hapa bongo, sio kwa kizazi hiki kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…